MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,148
- 3,031
Dodoma vibaka na majambazi waliipatapata..Sijui atakuwa wapi. Mimi nilimkubali sana.Watapata tabu sanaaaaaaaa!
Yupo wapi Kamanda huyu wa polisi alikua Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma? Ali-trend sana na slogan yake ya "Watapata tabu sanaaaaaa!"