Hata mimi nilisoma mahali humu humu. Kwamba eti alishafariki.Ulisoma nin Chakori?niambie
Mbona sikuwah kuona akiaga kabisa au nilikuwa wapi? Naomba zisiwe habari za kweli Nitasikitika sanaHata mimi nilisoma mahali humu humu. Kwamba eti alishafariki.
Sikuziamini habari hizo maana kabla ya kupotea mwenyewe aliaga kabisa.
Naamini alikwenda tu katika majukumu mengine maana kuna wengine walisema kuwa alikuwa mtu wa usalama na wakati ule anaaga kuondoka kulikuwa na hekaheka nyingi sana!
Ulikuwa unamfahamu physically?Mbona sikuwah kuona akiaga kabisa au nilikuwa wapi? Naomba zisiwe habari za kweli Nitasikitika sana
Hapana simfaham physically,Ulikuwa unamfahamu physically?
Nakumbuka aliwahi kuaga kule kwenye uzi wa kupeana likes wakati ule unavuma sana. Nimeitafuta hiyo comment yake sijaiona.
Kuhusu kufariki kuna mtu alianzisha uzi lakini ulifutwa. I hope hizo habari hazikuwa za kweli [emoji1545]
Mtafute huyu mtu umuulize pengine anajua. Hiyo comment bado ipo!Mbona sikuwah kuona akiaga kabisa au nilikuwa wapi? Naomba zisiwe habari za kweli Nitasikitika sana
Nimeiona na mim ngoja nimchekiMtafute huyu mtu umuulize pengine anajua. Hiyo comment bado ipo!
View attachment 2427088
Dalmine tafadhali njoo hapa
Alisemaje huyo mtu na alisema nin?
Ahaa labda anamjuaNami nimeipata kwa Poker , post no11 kutoka kwa Shimba ya Buyenze
We Shimba ya Buyenze kwahyo comment yangu ni off point?