ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wakuu ni muda mrefu sana nimemkumbuka sana mwanasiasa huyu finias magesa aliwahi kugombea ubunge kwenye uchaguzi mdogo kule busanda dhidi ya mhe.lolensia bukwimba ambapo mh .lolensia JM bukwimba aliibuka mashindi