Hana jipya kwani hata hiyo CRDB ameondoka ameacha mikopo chefuchefu ya matrilioni ya hela aliyowakopesha wahindi na yeye akakomba 10% yake!! Hawa ndio walikuwa mafisadi wa Jiwe; akamjengea tawi la benki ambalo baada ya klfo chake ilibidi lifungwe kwa kukosa biashara na sasa limekuwa klabu huko Chattle!!! Watu wenye tabia ya uchawa ni hatari kwa maendeleo ya nchi.
Muacheni akae huko kwao Moshi na uBunge wake wa kuhongwa na Jiwe!