Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

Sijuia anaitwa nani Yani,nautafuta sn wimbo huu
Kesho yake nikatoka moja kwa moja kwa rafaeli nikamkuta nyumbani anasikiliza CD ya R Keli, nikamuliza rafaeli una CD ya Makaveli akaniambia na makaveli, r keli na maria keli, sisi hatukukaa tukatoka moja kwa moja haooooo mpaka kwenye baa, unaambiwa watu walikua wamejaa nazo baiskeli na motokaa,
 
Enzi hizo wcb walikuwa bado wananyonya nyimbo za kiboya zinabamba disco Toto Kuku kapanda baskeli,dandu kurekod mamtoni anaonekana matawi,enzi zimebadilika siku mtoni ni km chooni tu kutwa Mara Tatu.
zamani ulikuwepo muziki ila siku hizi ni promo tu plus social networks zinakuza mambo..

unazikumbuka enzi za ray c ambapo safari za nje especially china au unazikumbuka mbwembwe za Tid kwenda mbele au huujui wimbo wake wa mtanzania... unazikumbuka tambo za lady jay dee katika tuzo za kora na kolabo zake za south plus wimbo wa lugha 7 distance ambao uliwashangaza watu... unamjua muasisi wa video za mbele mnyama Ay na king mwenyewe wa crack C Pwaa ambao nominations za mbele ilikuwa kawaida.....

unamjua dada renee lamira na unamkumbuka kijana bushoke alieiweka EA kiganjani na hapo ujamuweka NICE..

kila zama na kitabu chake kwa kweli ...hao wote hawakutumia pongolo za nigeria wala international collaboz... ilikuwa pure bongo flava na inabidi uwape heshima yao

WCB ni new age thing na lazma tukubali lakini haibadili umuhimu wa watu waliopita
 
Vijana Wa Leo tukiwambia hakuna jipya yore yamefanyika sema ni mda tu ukiwambia hata mda ule kulikuwa kina Dada matata kulikuwepo kina sinta, Nora, Nina, kina ntambalilwe, kina tausi likokolo kina marehemu amina chifupa, enzi za bingo ITV acha tu
 
Kesho yake nikatoka moja kwa moja kwa rafaeli nikamkuta nyumbani anasikiliza CD ya R Keli, nikamuliza rafaeli una CD ya Makaveli akaniambia na makaveli, r keli na maria keli, sisi hatukukaa tukatoka moja kwa moja haooooo mpaka kwenye baa, unaambiwa watu walikua wamejaa nazo baiskeli na motokaa,
Mwaga mistari mzee daah
 
Nakuhitaji ilikuwa noma, kuna binti alikuwa anaucheza huu wimbo mpaka wazee wanashika vichwa ha ha ha...naona pia demu wake wa zamani Dokii yupo EFM Ubaoni
 
Mwaga mistari mzee daah
basi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepo
 
Yupo UKONGA

Ukishuka Stand ya mombasa Ukonga kama unatokea madafu huko unatembea kidogo kama unaelekea yale makaburi ya kushoto kwako kwenye kile kimwinuko cha kwenda mzambarauni shule ya msingi sasa kabla hujafikia makaburi kushoto kwako kuna njia ambayo daladala za mosh bar mda mwingine zinachepuka utaona Lodge imeandikwa ANGWISE LODGE ndio anamiliki na anaishi jirani na hapo.

Karibu sana UKONGA Mkuu.
 
basi tukaagiza masafa pale na kitimoto,tulianza kupata moja baridi moja moto, wakati tunaendelea kidogo tu huyooo akatokea Mzee Urassa,,na ile Land Kruza yake new model ya kisasa power engine 2.4 filling system ya kisasa unaambiwa, ni automatic kuanzia kiti hadi vitasa, basi alikua na laki 3 mfukoni, akajishika kiunoni akatuangalia akatudharau akaingiza mkono mfukoni akatoa pesa akaweka pale mezani kisha akaenda chooni, sisi basi tukaanza kulewa, tukalewa tukalewa Yesu wangu , tulilewa tulilewa tulilewa tumelewa wakaanza kuongezeka ndugu zetu kutoka sehemu mbalimbali za kilimanjaro, marangu, machame,uru,,kishimundu, kibosho, mwika vunjo, mpaka kiboroloni unaambiwa tarakea mpaka huko sehemu za rombo wote pale wakawa wamemiminika,masawe alikuepo, mariale alikuepo, shirima alikuepo, mange alikuepo, lema alikuepo, ndossi alikuepo, mtei alikuepo, asei alikuepo, mama priska alikuepo,,mama manka alikuepo, minja alikuepo, kilua alikuepo, na huyu mtoto anakaa mtaa wa pili nani huyu...chuwa, haha eti chuwa nae alikuepo
Hii nyimbo huwa inanichekesha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom