Yupo wapi Blandina Kalama (Phd)?

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Mmoja kati wa wanazuoni machachari hususani wanapo changia hoja mbalimbali za maendeleo mwana mama Dkt. Blandina Kilama
Ana english tune flani iv ya Oxford kabisaa.

Imepita miakaa kadhaa sijamuona ktk midahalo mbalimbali inayo rushwa ktk runinga mfano kipindi cha Adam Simbeye cha TBC 1.
 
Huyu hapa
IMG-20191114-WA0077.jpg
 
Mmoja kati wa wanazuoni machachari hususani wanapo changia hoja mbalimbali za maendeleo mwana mama Dkt. Blandina Kilama
Ana english tune flani iv ya Oxford kabisaa.

Imepita miakaa kadhaa sijamuona ktk midahalo mbalimbali inayo rushwa ktk runinga mfano kipindi cha Adam Simbeye cha TBC 1.
Dr. Blandina Buganzi Kilama yupo REPOA, ni Senior Researcher pale REPOA. Pia ni CEO wa Economic Society of Tanzania (EST). Ni mtu simple and easy sana, mdada flani msela na kichwani yuko njemaa haswaa; tone yake ya English sio ya nchi hii. Amesoma Havard.

Ni mwenyeji wa Bukoba, ni mtoto wa Prof. Kilama.
 
Okay, shukran sana kwa maelezo yako ya kumuelezea msomi huyo ..off course ata mm napendaa sana tone yake ya english ya oxford kabisaaa
 
Mimi nimewafundisha maprofesa wengi ila nilishangaa maprofesa wote wahaya wamesoma Havard ila maprofesa wa makabila mengine ndio husoma vyuo vingine kama UDSM nk sio Havard !!!!!!!!😁😂😂😂
 
Finally, nimemuona blqndina kilama akihojiwa na Hithaya ya kiswahili ya BBC matangazo ya Tv kupitia star tv ..alikuwa ana zungumzia SGR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom