naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Habari wadau wa JF siasa.
Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.
Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Nimeanza kumsikia akivuma kwa njama za kumpindua Amiri Jeshi MkuuMkuu yuko nnje ya nchi, tufanya maandalizi makubwa ya kumpokea pale aiport
Jasusi alietukuka
Wapi huko
Ajitokeze Mara moja moja atoe maoni yake juu ya mambo mbalimbali hapa nchini
Nimeanza kumsikia akivuma kwa njama za kumpindua Amiri Jeshi Mkuu
Sio umbeya, hujasikia mambo yanayoendelea dhidi yake?peleka umbea chooni
Sio umbeya, hujasikia mambo yanayoendelea dhidi yake?
Sio umbeya, hujasikia mambo yanayoendelea dhidi yake?
Nyegere wewe! Kumng' oa Magufuli 2020.Mambo gani tena wajameni