chegreyson
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 974
- 434
Mkuu watu wengine hawafanyi kazi na media,yaani kila analofanya linatangazwa.Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
Habari wadau wa JF siasa.
Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.
Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Mzee wa chenji ya rada na Pesa za Gaddafi nini? Tuambizane ukweli tu! Mwanzoni aliwashwa washwa sana, lakini nadhani kuna sehemu alisaidiwa kujikuna ikabidi azibe mdomo.Membe Sio mtu wa kupagawa kwanza maadili yake ya kazi yamemfanya awe mtu tofauti na watu wengine.
Ili?Ajitokeze Mara moja moja atoe maoni yake juu ya mambo mbalimbali hapa nchini
Sijui alipo bali naona anafanya kitu cha busara sana, kukaa kimya na kumpisha Rais afanye kazi yake.Habari wadau wa JF siasa.
Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.
Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Unamchokonoa?Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
Jasusi kashindwa kutawala, anagugumia tu, nakumbuka hotuba yake bungeni akiwaaga wabunge na mabalozi wa tanzania waliokua ughaibuni, alidai, leo nahutubia kama waziri wa mambo ya Nje, bunge lijalo nitaingia na kuhutubia kivingine, akimaanisha atakua amiri jeshi mkuu, kumbe wapi!, alikua anategemea mbeleko ya Kikwete, alidundia pua, chezea nzee Nkapa wewe!Jasusi alietukuka
Mmh!Kwa rank aliyokuwa amefikia hakupaswa kuishi maisha ya uvunguni..kufanya hivyo inathibitisha kabisa nafasi alizopata kutumikia serikalini alizipata kwa bahati tu..hakupaswa,haiwezekani former foreign affairs minister kwa umri alionao,hawezi kuandika makala magazetini, hawezi kuandika hata kitabu, hana connection yoyote angalau apewe mihadhara ya kitaaluma pale inapotokea nk..he s a dead wood, ni tanzania tu hata mtu asiye na sifa za kuwa kiongozi anaweza kuwa kiongozi,ndio gharama za ignorance hizo!
...Mtama, kule Lindi..yupo nyumban kwake
Tupo nae huku lindi anakula hela za kustaafu uwaziri huku anawachora tu mnavyoburuzana na li nchi lenuHabari wadau wa JF siasa.
Huyu Mheshimiwa aliwahi kuwa waziri ktk wizara mbalimbali humu nchini na alidhaniwa kumrithi Rais Kikwete ikiwa sio basi Lowassa angemrithi. Ktk uchaguzi baada ya kura kutotosha 2015 ndani ya CCM amepotea.
Yupo wapi Mheshimiwa huyu?
Hutangazwi na media kwa sababu umeomba zikutangaze..media zinatangaza mchango wako kwenye jambo husika,haiwezekani utumikie nafasi aliyokuwa katika umri alionao ukakosa apetite ya kuendelea kutoa mchango wako katika maeneo mbali mbali hasa eneo alilokuwa anahudumu,si lazima iwe hapa tanzania, angalau ukanda wetu wa EAC au hata SADC..Mkuu watu wengine hawafanyi kazi na media,yaani kila analofanya linatangazwa.
Enheeee, mimi naendelea kuunganisha nukta tu.Anasubiri 2020!