MZK
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 236
- 306
Leo nimemkumbuka aliyewahi kuwa Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Bw. Venance Tossi.
Alikuwa ni Kamanda aliyeweza kukomesha Ujambazi kipindi kile. Kwa mara ya Mwisho alihamishiwa TANAPA kama Kiongozi wa Kukabiliana na Uhalifu kwa Haraka (Rapid Response Team) . Kwa sasa sijui aliko, je hatuoni umuhimu wake alejee ktk kipindi hiki kigumu cha ujambazi mpaka mchana kweupe?
Kutoka kulia ni Genes Shayo, Venance Tossi na mtaalamu kutoka Afrika Kusini Martin Mthembu.