Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa.
yupo kwao zenji anaendelea na ishu zake za kutembeza watalii(tour guider)...hupatikana sana maeneo ya mji mkongwe na vipensi vyake na begi kubwa mgongoni kama mpanda milima!

yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin

Huwezi kutoboa kwenye tukio la kimsimu halafu hilo hilo likakufanya uwe super star! Na ndio maana, wanaotoboa kwenye matukio ya msimu na wakawa ma-superstar ni wale ambao hatimae waliingia kwenye angle za kudumu kv akina Wema Sepetu kutoka Miss Tanzania (tukio la msimu) kwenda kwenye filamu (angle za kudumu)! Hata Richard Bezuidenhout ameshapotea na mtoko wake wa tukio la msimu la Big Brother!