Yupi wa kuoa kati ya hawa wanawake?

Yupi wa kuoa kati ya hawa wanawake?

Unapoamua kuoa ina maana kuna malengo umeyaplani katika maisha ambayo mkeo anakuja kuwa msaidizi kufikia hayo malengo. Sasa tafakari kwa nini unaoa? Kwa maonesho au kwa malengo? Hizo zingine mbwembwe tu.
 
Angalia ambaye anazaa ndo umuoe, tunaoa ili tuzae bwana siyo kutambia wenzio eti una mke mkali, wakikuchapia utarudi kuomba ushauri hapa
 
Mungu atakuonyesha aliyekuchagulia

Atakuonyesha vipi? kila kitu Mungu tu

kama we ni kipofu atakuonyeshaje? refer kwa mleta uzi....ni kipofu

after all, Mungu ameshajitoa kuwachagulia watu maana mkiboronga hamkawii kusema ee Mungu umenipa mke gani...kumbuka Adam na Eva, Adam alianza kulia ooh huyu mwanamke uliyeniletea ndo kanipa tunda.

am I wrong?
 
Hio linga linga ya huyo umbo namba nane ni Foolish Age akikua atatulia bora uwe na mtoto ambae moyo utaridhia na kuwa huru kupita nae popote lakin ww ujapenda ukipenda huwezi weka options ivo au wote ni second choice?
 
Atakuonyesha vipi? kila kitu Mungu tu

kama we ni kipofu atakuonyeshaje? refer kwa mleta uzi....ni kipofu

after all, Mungu ameshajitoa kuwachagulia watu maana mkiboronga hamkawii kusema ee Mungu umenipa mke gani...kumbuka Adam na Eva, Adam alianza kulia ooh huyu mwanamke uliyeniletea ndo kanipa tunda.

am I wrong?

NO. Ila ni watu wenyewe (wanandoa) hawafuati amri na sheria za Mungu
 
Hivi ushajikutaga una wasichana wawili ambao mmoja ni mkaliii shape kubwa toto refu. Mguu wa bia,namba 8 flani ivi ila ni mkorofi haambiliki akikukosea aombi msamaha ila unabaki naye kwa vile unampenda.

Kwa upande mwngne una demu wa kawaida (kawaida namaanisha Mguu mwembamba kama wangu shape la kawaida ana kitambi kidogo ) lakini yeye ana sifa zote za u wife material.

Tatizo linakuja ukitaka kuoa unatamani uwe na mkali hata mkitoka out au kwenda katika masherehe uwafunike marafiki zako lakini tabia mbaya bora lipi? Kuoa wife material au unayemtamani?

Samahani kwa nitakaowakera

Oa unaemtamani kwa kuwa hutatamani vya nje
 
Ndoa ni maisha ya milele. Hio mishepushepu ina mwisho wake. Chagua mtu a ambae hatokuwa kero kwako. Kwani ndoa sio sex tu.
 
mwanamke mwenye shepu 'hot' ni mtamu sana kwa starehe za kitandani. ila kwa maisha ya sasa kama hauna pesa, afu ukaoa mwanamke mwenye tako mtetemo ambalo linavunja shingo za wanaume njiani, basi jiandae kabsa kisaikolojia kuchapiwa daily!

BTW... usikilize moyo wako!
 
Hivi ushajikutaga una wasichana wawili ambao mmoja ni mkaliii shape kubwa toto refu. Mguu wa bia,namba 8 flani ivi ila ni mkorofi haambiliki akikukosea aombi msamaha ila unabaki naye kwa vile unampenda.

Kwa upande mwngne una demu wa kawaida (kawaida namaanisha Mguu mwembamba kama wangu shape la kawaida ana kitambi kidogo ) lakini yeye ana sifa zote za u wife material.

Tatizo linakuja ukitaka kuoa unatamani uwe na mkali hata mkitoka out au kwenda katika masherehe uwafunike marafiki zako lakini tabia mbaya bora lipi? Kuoa wife material au unayemtamani?

Samahani kwa nitakaowakera

Bado hujapenda weye!
 
hakuna hata m1 hapo

kama kungekua na aliekuteka moyo usingewaingza kwenye comptn

hamna hapo kitu

Unanikumbusha post yako naomba niiparafrezi kiduchu; "Hivi mme wako tena wandoa anaweza akakuomba...........na maumbile?"
 
Back
Top Bottom