nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Hivi ushajikutaga una wasichana wawili ambao mmoja ni mkaliii shape kubwa toto refu. Mguu wa bia,namba 8 flani ivi ila ni mkorofi haambiliki akikukosea aombi msamaha ila unabaki naye kwa vile unampenda.
Kwa upande mwngne una demu wa kawaida (kawaida namaanisha Mguu mwembamba kama wangu shape la kawaida ana kitambi kidogo ) lakini yeye ana sifa zote za u wife material.
Tatizo linakuja ukitaka kuoa unatamani uwe na mkali hata mkitoka out au kwenda katika masherehe uwafunike marafiki zako lakini tabia mbaya bora lipi? Kuoa wife material au unayemtamani?
Samahani kwa nitakaowakera