THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
vyote vinarekebishika, ni kutafuta namna nzuri na hekima ya kumuambia mwezio, japo ni kotozingatia usafi vizuri au kutojijua, japo wengi hawana ujasiri wa kusema kwa mlengwa, ukiweza kusema busara na hekima. Wengine huwa hawanuki miguu ila akivaa soksi nyepesi nyepesi tu za dukani jasho ni mshike mshike, utasikia tu ''wala siingii hata ndani kuna mtu nawuwahi mara moja'' kumbe anasema moyoni laiti angejua nikivua apa ni balaa tupu, so mtu kama huyu ni kuvaa tu soksi nzito. Ikishindikana piga tu open shooes kwa sana.
Kwa wale wa mdomo, ni kuzingatia kuswaki kwa muda wa kutosha na unatupia tupia bablish nini nini!! Itasaidia. Otherwise hakuna bora apo, ni kufanya tu juhudi kurekebisha.
Kwa kweli inabidi wote waende hospital kwani kunazo dawa za kutibu hayo magonjwa jamani
wewe mkali.good ideaDuuh.. Usifanye masihala.. Kula denda la mtu anayetoa harufu kinywani, hilo suala kwangu haliwezekani kabisaa!!
Bora huyo anayetoa harufu baada ya kuvua viatu..!! Nitavitoa viatu nje ili walau harufu ipungue.. Game litapigwa kama kawa!!
Wenye harufu za Vinywa kwanza wengi huwa hawajijui kama wanatoa harufu, hivyo wanakuwaga wabishi kushaurika!!
Wenye harufu za miguu baada ya kuvua viatu ni rahisi sana kuwashauri maana hata wao hujielewa kwamba wana tatizo..!!
Wengine wananuka midomo kwa sababu hawajui kupiga mswaki vizuri, hawapigi kwenye ulimi, unakuta mtu anapiga kwenye meno tu ila hagusi ulimi, Unakuta mtu katoka kupiga mswaki lakini akitoa ulimi nje unakutana na vitu kama maziwa yameganda kwenye ulimi, Jamani yananuka sana.
Pia meno yaliyotoboka na kuoza hutoa harufu sana, kwa sababu vyakula vikiingia ni ngumu kuvichokonoa wakati wa kupiga mswagi, sasa vikiozea ndani ya meno mdomo hutoa harufu kama ya choo.
OK lakini huoni huyo anaye nuka mdomo ataendelea kutesa jamii? Inabidi tuwaambie wote.Tena usikutane naye ambaye hajaongea kwa muda mrefu kisha unamuuliza na anakupa jibu,,,, huo uvundo...pyaaaaaaaah.Duuh.. Usifanye masihala.. Kula denda la mtu anayetoa harufu kinywani, hilo suala kwangu haliwezekani kabisaa!!
Bora huyo anayetoa harufu baada ya kuvua viatu..!! Nitavitoa viatu nje ili walau harufu ipungue.. Game litapigwa kama kawa!!
Wenye harufu za Vinywa kwanza wengi huwa hawajijui kama wanatoa harufu, hivyo wanakuwaga wabishi kushaurika!!
Wenye harufu za miguu baada ya kuvua viatu ni rahisi sana kuwashauri maana hata wao hujielewa kwamba wana tatizo..!!
Vyote vinarekebishika, ni kutafuta namna nzuri na hekima ya kumuambia mwezio, Japo ni kotozingatia usafi vizuri au kutojijua, Japo wengi hawana ujasiri wa kusema kwa mlengwa, ukiweza kusema busara na hekima. wengine huwa hawanuki miguu ila akivaa soksi nyepesi nyepesi tu za dukani jasho ni mshike mshike, utasikia tu ''wala siingii hata ndani kuna mtu nawuwahi mara moja'' kumbe anasema moyoni laiti angejua nikivua apa ni balaa tupu, so mtu kama huyu ni kuvaa tu soksi nzito. Ikishindikana piga tu open shooes kwa sana.
Kwa wale wa mdomo, ni kuzingatia kuswaki kwa muda wa kutosha na unatupia tupia bablish nini nini!! itasaidia. otherwise hakuna bora apo, ni kufanya tu juhudi kurekebisha.
OK lakini huoni huyo anaye nuka mdomo ataendelea kutesa jamii? Inabidi tuwaambie wote.Tena usikutane naye ambaye hajaongea kwa muda mrefu kisha unamuuliza na anakupa jibu,,,, huo uvundo...pyaaaaaaaah.
Hahahaaaaa..... Hiyo pyaaaaaaaah mie hoooi..!
Bwana weeeh uvundo wa mtu anaye nuka mdomo tena hajaongea muda mrefu asikwambie mtu unaweza tapika.