THE GREAT CAMP
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 765
- 194
MWANAMKE: 1.Unakutana na jamaa anakutongoza na wewe unamkubalia (Vigezo na masharti kuzingatiwa). Baada ya muda kidogo kupita jamaa anaomba mkutane faragha kwa ajili ya mambo fulani(......). Unakubali. Baada ya kufika huko jamaa anaomba kula denda. Unakubali. Jamaa analeta mdomo wake na wewe unasogeza wa kwako. Unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye mdomo wa jamaa. 2.Unakutana na jamaa anakutongoza na wewe unamkubalia (Vigezo na masharti kuzingatiwa). Baada ya muda kidogo kupita jamaa anaomba mkutane faragha kwa ajili ya mambo fulani(......). Unakubali. Baada ya kufika huko Jamaa anavua viatu ili mpande kitandani. Baada ya kuvua viatu unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye miguu ya jamaa na viatu vyake yaani tabu tupu. MWANAUME: Unamuona mwanamke mrembo ambaye anavutia kwelikweli kila idara. Unamtongoza na binti anakubali. Baada ya muda kidogo, unambembeleza muende faragha mkale (........). Binti anakubali. Baada ya kufika huko unaomba kula denda. Uliposogeza mdomo wako kwa binti unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye mdomo wake. JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?