Yupi rahisi kumshauri, mpenzi anaye nuka mdomo au mpenzi mwenye viatu vinavyonuka?

THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
766
Points
0
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
766 0
MWANAMKE: 1.Unakutana na jamaa anakutongoza na wewe unamkubalia (Vigezo na masharti kuzingatiwa). Baada ya muda kidogo kupita jamaa anaomba mkutane faragha kwa ajili ya mambo fulani(......). Unakubali. Baada ya kufika huko jamaa anaomba kula denda. Unakubali. Jamaa analeta mdomo wake na wewe unasogeza wa kwako. Unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye mdomo wa jamaa. 2.Unakutana na jamaa anakutongoza na wewe unamkubalia (Vigezo na masharti kuzingatiwa). Baada ya muda kidogo kupita jamaa anaomba mkutane faragha kwa ajili ya mambo fulani(......). Unakubali. Baada ya kufika huko Jamaa anavua viatu ili mpande kitandani. Baada ya kuvua viatu unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye miguu ya jamaa na viatu vyake yaani tabu tupu. MWANAUME: Unamuona mwanamke mrembo ambaye anavutia kwelikweli kila idara. Unamtongoza na binti anakubali. Baada ya muda kidogo, unambembeleza muende faragha mkale (........). Binti anakubali. Baada ya kufika huko unaomba kula denda. Uliposogeza mdomo wako kwa binti unakutana na harufu mbaya sana kutoka kwenye mdomo wake. JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?
 
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Messages
4,003
Points
2,000
Tized

Tized

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2012
4,003 2,000
Vyote vinarekebishika, ni kutafuta namna nzuri na hekima ya kumuambia mwezio, Japo ni kotozingatia usafi vizuri au kutojijua, Japo wengi hawana ujasiri wa kusema kwa mlengwa, ukiweza kusema busara na hekima. wengine huwa hawanuki miguu ila akivaa soksi nyepesi nyepesi tu za dukani jasho ni mshike mshike, utasikia tu ''wala siingii hata ndani kuna mtu nawuwahi mara moja'' kumbe anasema moyoni laiti angejua nikivua apa ni balaa tupu, so mtu kama huyu ni kuvaa tu soksi nzito. Ikishindikana piga tu open shooes kwa sana.

Kwa wale wa mdomo, ni kuzingatia kuswaki kwa muda wa kutosha na unatupia tupia bablish nini nini!! itasaidia. otherwise hakuna bora apo, ni kufanya tu juhudi kurekebisha.
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,707
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,707 1,225
Duuh.. Usifanye masihala.. Kula denda la mtu anayetoa harufu kinywani, hilo suala kwangu haliwezekani kabisaa!!

Bora huyo anayetoa harufu baada ya kuvua viatu..!! Nitavitoa viatu nje ili walau harufu ipungue.. Game litapigwa kama kawa!!

Wenye harufu za Vinywa kwanza wengi huwa hawajijui kama wanatoa harufu, hivyo wanakuwaga wabishi kushaurika!!

Wenye harufu za miguu baada ya kuvua viatu ni rahisi sana kuwashauri maana hata wao hujielewa kwamba wana tatizo..!!
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,903
Points
2,000
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,903 2,000
Kwa kweli inabidi wote waende hospital kwani kunazo dawa za kutibu hayo magonjwa jamani
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,991
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,991 2,000
vyote vinarekebishika, ni kutafuta namna nzuri na hekima ya kumuambia mwezio, japo ni kotozingatia usafi vizuri au kutojijua, japo wengi hawana ujasiri wa kusema kwa mlengwa, ukiweza kusema busara na hekima. Wengine huwa hawanuki miguu ila akivaa soksi nyepesi nyepesi tu za dukani jasho ni mshike mshike, utasikia tu ''wala siingii hata ndani kuna mtu nawuwahi mara moja'' kumbe anasema moyoni laiti angejua nikivua apa ni balaa tupu, so mtu kama huyu ni kuvaa tu soksi nzito. Ikishindikana piga tu open shooes kwa sana.

Kwa wale wa mdomo, ni kuzingatia kuswaki kwa muda wa kutosha na unatupia tupia bablish nini nini!! Itasaidia. Otherwise hakuna bora apo, ni kufanya tu juhudi kurekebisha.

umesomeka vizuri
lakin mkuu kuna wadau wengne hizo ishu ni maradhi kabisa mkuu

yan inakua kama vile hayatibiki kirahisi

hasa hasa kwenye ishu ya kinywa,,hapo pana mtihani mkubwa sana kwa kweli
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,991
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,991 2,000
Kwa kweli inabidi wote waende hospital kwani kunazo dawa za kutibu hayo magonjwa jamani

NIKARIBISHE BASI HAPO KWA BED NIKUPE BIG SHOW

JUST TEASING,,TEASING

PENDA SANA IYO AVATAR MIMI

:madgrin: :madgrin:
 
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Messages
13,903
Points
2,000
ladyfurahia

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined May 10, 2011
13,903 2,000
wakaribishwa tena sana upate raha zako

KARIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

WEWE NI MHINDI NINI
 
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
681
Points
225
Lateni

Lateni

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
681 225
Wengine wananuka midomo kwa sababu hawajui kupiga mswaki vizuri, hawapigi kwenye ulimi, unakuta mtu anapiga kwenye meno tu ila hagusi ulimi, Unakuta mtu katoka kupiga mswaki lakini akitoa ulimi nje unakutana na vitu kama maziwa yameganda kwenye ulimi, Jamani yananuka sana.

Pia meno yaliyotoboka na kuoza hutoa harufu sana, kwa sababu vyakula vikiingia ni ngumu kuvichokonoa wakati wa kupiga mswagi, sasa vikiozea ndani ya meno mdomo hutoa harufu kama ya choo.
 
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0
fazaa

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Aisay na wewe kila unaye muona nje una mlamba mdomo tu, kwanini usitafute wako wakulambana naye tu :biggrin1:

Angekuwa mke wako usinge sikia harufu ya mdomo wake, sababu ni mdomo halali...hio midomo ya nje, ni ya haramu lazima inuke tu :A S shade:
 
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
766
Points
0
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
766 0
Duuh.. Usifanye masihala.. Kula denda la mtu anayetoa harufu kinywani, hilo suala kwangu haliwezekani kabisaa!!

Bora huyo anayetoa harufu baada ya kuvua viatu..!! Nitavitoa viatu nje ili walau harufu ipungue.. Game litapigwa kama kawa!!

Wenye harufu za Vinywa kwanza wengi huwa hawajijui kama wanatoa harufu, hivyo wanakuwaga wabishi kushaurika!!

Wenye harufu za miguu baada ya kuvua viatu ni rahisi sana kuwashauri maana hata wao hujielewa kwamba wana tatizo..!!
wewe mkali.good idea
 
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
766
Points
0
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
766 0
Wengine wananuka midomo kwa sababu hawajui kupiga mswaki vizuri, hawapigi kwenye ulimi, unakuta mtu anapiga kwenye meno tu ila hagusi ulimi, Unakuta mtu katoka kupiga mswaki lakini akitoa ulimi nje unakutana na vitu kama maziwa yameganda kwenye ulimi, Jamani yananuka sana.

Pia meno yaliyotoboka na kuoza hutoa harufu sana, kwa sababu vyakula vikiingia ni ngumu kuvichokonoa wakati wa kupiga mswagi, sasa vikiozea ndani ya meno mdomo hutoa harufu kama ya choo.
pyaaaaaaaa..... yaani inakera sana.
 
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
766
Points
0
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
766 0
Duuh.. Usifanye masihala.. Kula denda la mtu anayetoa harufu kinywani, hilo suala kwangu haliwezekani kabisaa!!

Bora huyo anayetoa harufu baada ya kuvua viatu..!! Nitavitoa viatu nje ili walau harufu ipungue.. Game litapigwa kama kawa!!

Wenye harufu za Vinywa kwanza wengi huwa hawajijui kama wanatoa harufu, hivyo wanakuwaga wabishi kushaurika!!

Wenye harufu za miguu baada ya kuvua viatu ni rahisi sana kuwashauri maana hata wao hujielewa kwamba wana tatizo..!!
OK lakini huoni huyo anaye nuka mdomo ataendelea kutesa jamii? Inabidi tuwaambie wote.Tena usikutane naye ambaye hajaongea kwa muda mrefu kisha unamuuliza na anakupa jibu,,,, huo uvundo...pyaaaaaaaah.
 
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
5,452
Points
1,225
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
5,452 1,225
Vyote vinarekebishika, ni kutafuta namna nzuri na hekima ya kumuambia mwezio, Japo ni kotozingatia usafi vizuri au kutojijua, Japo wengi hawana ujasiri wa kusema kwa mlengwa, ukiweza kusema busara na hekima. wengine huwa hawanuki miguu ila akivaa soksi nyepesi nyepesi tu za dukani jasho ni mshike mshike, utasikia tu ''wala siingii hata ndani kuna mtu nawuwahi mara moja'' kumbe anasema moyoni laiti angejua nikivua apa ni balaa tupu, so mtu kama huyu ni kuvaa tu soksi nzito. Ikishindikana piga tu open shooes kwa sana.

Kwa wale wa mdomo, ni kuzingatia kuswaki kwa muda wa kutosha na unatupia tupia bablish nini nini!! itasaidia. otherwise hakuna bora apo, ni kufanya tu juhudi kurekebisha.
Sox zinazonuka ni zile ambazo sio cotton maana zinakuwa na joto sana, issue sio uzito au wepesi wa soksi ni material.
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,707
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,707 1,225
OK lakini huoni huyo anaye nuka mdomo ataendelea kutesa jamii? Inabidi tuwaambie wote.Tena usikutane naye ambaye hajaongea kwa muda mrefu kisha unamuuliza na anakupa jibu,,,, huo uvundo...pyaaaaaaaah.
Hahahaaaaa..... Hiyo pyaaaaaaaah mie hoooi..!
 
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
766
Points
0
THE GREAT CAMP

THE GREAT CAMP

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
766 0
Hahahaaaaa..... Hiyo pyaaaaaaaah mie hoooi..!
Bwana weeeh uvundo wa mtu anaye nuka mdomo tena hajaongea muda mrefu asikwambie mtu unaweza tapika.
 
S

socialife

Senior Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
178
Points
195
S

socialife

Senior Member
Joined Dec 26, 2012
178 195
Kwa ishu ya mdomo aise ni kiama. Magadi yanatoa harufu tatizo usiposafisha vizuri baada ya kutumia, meno yanaweza kuwa njano yote. ipo perfume za mdomo pia nakumbuka enzi miaka ya 89 tulikuwa na brothamen wa enzi hizo mwenyewe kila baada kama nusu saa hivi unaona ngoma inainama kumbe ndio ilikuwa inapulizia mie nkafikiri mtu ana pumu. Ukute mtu anavuta sigara halafu ana harufu ukichanganya hivi viwili walah hata kama mnaongea ndio unakuta mnaachana kama mita moja maana hata ukikaa bila kunya kwa siku 2 harufu haiwezi kuifikia...
 
Passion Lady

Passion Lady

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Messages
8,702
Points
1,500
Passion Lady

Passion Lady

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2012
8,702 1,500
wote wanashaurika kabisa lkn lugha itumike ya kistaarabu tu, mshauri ukitumia lugha ya maudhi meno ya sebleni atayakosa!
 
J

jengo

Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
73
Points
95
J

jengo

Member
Joined Oct 16, 2012
73 95
kwani wewe shidan yako ni miguu au mdomo, harufu inakuhusu nini wewe,
 
M

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
1,635
Points
1,225
M

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
1,635 1,225
Bwana weeeh uvundo wa mtu anaye nuka mdomo tena hajaongea muda mrefu asikwambie mtu unaweza tapika.
Tena usiombe kukaa kanisani na mtu anayenuka mdomo halafu ana appetite ya kuimba, utatamani Kuhama kiti
 
S

shareef95nes

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Messages
107
Points
0
S

shareef95nes

Senior Member
Joined Jan 16, 2013
107 0
kinuka mdomo nouma lazima ugeuze shingo wakati wamazungumzo
 
Forum statistics

Threads 1,295,850
Members 498,410
Posts 31,225,356
Top