Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,613 Sep 3, 2014 #1 Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile. Katika swala zima la kuweka zile Application za kufuatilia nyendo za mkewe katika simu....
Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile. Katika swala zima la kuweka zile Application za kufuatilia nyendo za mkewe katika simu....
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Sep 3, 2014 #2 Sijaelewa..
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,432 Sep 3, 2014 #3 Ngoja kwanza nizime pc
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Sep 3, 2014 #4 slim5 said: Ngoja kwanza nizime pc Click to expand... Una restart au?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,033 Reaction score 110,677 Sep 3, 2014 #5 Kuchukua hatua ipi?
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,613 Sep 3, 2014 Thread starter #6 watu8 said: Kuchukua hatua ipi? Click to expand... kuweka Application ya kuspy ktk simu ya mkewe
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,432 Sep 3, 2014 #7 utafiti said: Una restart au? Click to expand... Na - switch off mkuu utafiti Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
tabibumtaratibu JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 2,414 Reaction score 1,216 Sep 3, 2014 #8 hatua za kutembea au?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,970 Reaction score 168,908 Sep 3, 2014 #9 kama vile haiko clear
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 Sep 3, 2014 #10 Mkuu umetuacha kwenye mning'inio embu malizia
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Sep 3, 2014 #11 watu8 said: Kuchukua hatua ipi? Click to expand... Dr salamalekoo........
ONTARIO JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 1,792 Reaction score 17,191 Sep 3, 2014 #12 Ingekua whatsapp ngekujibu "K"
Gemmy JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 1,211 Reaction score 823 Sep 3, 2014 #13 slim5 said: Ngoja kwanza nizime pc Click to expand... moja kwa moja au una restart tuu?
Ighombe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 1,195 Reaction score 691 Sep 3, 2014 #14 kufuatilia kila mara cmu ya mwenza sio vizuri unaweza ukakuta vitu vya ajabu huko na usivyovielewa na ukavunja ndoa yako.
kufuatilia kila mara cmu ya mwenza sio vizuri unaweza ukakuta vitu vya ajabu huko na usivyovielewa na ukavunja ndoa yako.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,033 Reaction score 110,677 Sep 3, 2014 #15 Preta said: Dr salamalekoo........ Click to expand... Aleko musalaam dr... Habari za uzima wako na habari za kumisiwa na mimi sana?
Preta said: Dr salamalekoo........ Click to expand... Aleko musalaam dr... Habari za uzima wako na habari za kumisiwa na mimi sana?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,033 Reaction score 110,677 Sep 3, 2014 #16 Kyalow said: kuweka Application ya kuspy ktk simu ya mkewe Click to expand... Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe
Kyalow said: kuweka Application ya kuspy ktk simu ya mkewe Click to expand... Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe
Fast Forward JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 575 Reaction score 768 Sep 3, 2014 #17 Kitu cha chuga nini? Au ndio kuvuta bila kula!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Sep 3, 2014 #18 watu8 said: Aleko musalaam dr... Habari za uzima wako na habari za kumisiwa na mimi sana? Click to expand... Nzuri sana dr.........moyo wangu pia umekukosa sana.........wacha ni du ze nidful upande ule wa kule.........tchaaa.......
watu8 said: Aleko musalaam dr... Habari za uzima wako na habari za kumisiwa na mimi sana? Click to expand... Nzuri sana dr.........moyo wangu pia umekukosa sana.........wacha ni du ze nidful upande ule wa kule.........tchaaa.......
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,630 Reaction score 19,018 Sep 3, 2014 #19 hivi ni saa ngapi....?
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,613 Sep 3, 2014 Thread starter #20 Hamja nielewa wote...someni kwa makini msikurupuke ku comment tuu