Yupi ni Mchezaji Bora wa Msimu?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,716
45,115
Tukiwa tunakaribia kuingia mwezi wa nne baada ya kuanza kwa msimu wa soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya, yupi mpaka sasa ni mchezaji ambaye amepafomu vizuri kushinda wenzake kiasi cha kuweza kumuita mchezaji wa msimu mpaka hapa tulipofikia.

Kwangu mimi bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, Robert Lewandowski ndiye mchezaji bora wa msimu mpaka kufikia sasa. Goli 31 katika michezo 26 sio jambo la kubeza. Nadiriki kusema jamaa haimbwi sana ila ana uwezo wa juu sana.

Kwako wewe, mchezaji wako bora so far ni yupi?
 
Fafanua kwanza unaposema mchezaji wa msimu
 
Robert Lewa Ndoo ya Whiskey
 
Msimu unaisha May mwakani

Swali unazungumzia MCHEZAJI BORA au MFUNGAJI BORA
 
Hivi timu kama prisons pamoja na kutofungwa ,mbn haitoi Kocha Bora wa mwezi ,au hata mchezaji bora wa mwezi?
 
Back
Top Bottom