MC, anavitu vyote ambavyo rapper anavyo, na sio kinyume
MC mfano nash MC, nyenza MC, Fid Q
Rapper mfano youg D, Mr blue
Anaanza MC ndio anakuja rapper
MC wanaishi kwenye misingi 5 ya hiphop
Rapper just ana rap tu,
Huwezi kumuweka kundi moja FID Q na YOUNG D
kitu anachofanya young D fid Q anakiweza, ila anayofanya fid Q young D ataishia kumuangalia tu na kumpigia makofi