Yupi mjinga kati ya Hawa?

Mjinga hamna lakini kuna mpumbavu mmoja hapo.
 
Duh, akipiga risasi tu, jamaa wa pili anaanguka, yule wa bondeni nae anaenda kwa korongoni kwa speed isiyoelezeka.
 
Ni yule aliyeweka hiyo mbao maana ugomvi huu bila mbao ungeishia alipo namba 3 yaani mtazamaji
 
Inatufundisha kua tumalize migogoro yetu kwa mazungumzo na wala tusitumie njia zingine, maana nje ya mazungumzo njia zingine zinaweza kutuathiri wote..
"power of art'
 
VITA ya CCM vs MAGU,.CCM inashinda na wajinga ni Watanzania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…