katika mpira hakuna hesabu za namna hiyo na ukitaka kulazimisha mifano ipo mingi sana usiishie hapo kwani hata Azam ulipakatwa 3-0 then tukawapakata 2-0 na kuchukua kikombe....
Nasemaje.....
Mimi kama Mshabiki No. 1 wa Mnyama a.k.a Simba Sports Club kwa niaba ya mashabiki wenzangu,wanachama na Viongozi wote, kesho tukifungwa hatukubali kwasababu zifuatazo:-
1. Okwi wetu kutocheza,
2. Maftah wetu ku'miss pia,
3. Mwenyekiti wa Yanga peke yake kuwa na hela nyingi kuliko Mwenyekiti wetu changanya na Viongozi na wafadhili
wengine wa team yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.