Yupi kapendeza zaidi kati yao?

Yupi kapendeza zaidi kati yao?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
ImageUploadedByJamiiForums1431332411.221090.jpg
Ni 1 2 3 4 au 5?
 
sioni anaependeza maana wote wamevaa suti! wote nisawaeeee.....
 
No.4 bhanaa.., kwani vipi.., yalikuwa mashindano ya urembo au..?! fafanua..
 
Wote wamevaa nguo za kufanana...full suti so hakuna tofauti
 
AIBU!
Tumefikia Hapa? kuacha kuwaza na kujadili maswala nyeti hapa nchini, du, hatari. au unataka kwenda kuoa?:disapointed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom