GE2010 yupi kamuenzi nyerere kati ya wagombea?

GE2010 yupi kamuenzi nyerere kati ya wagombea?

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
kati ya wagombea uraisi TZ 2010 ni yupi ambae angalau anamoyo wa kumuenzi muasisi wa taifa hili jk nyerere kwa matendo ya utetezi wa haki sawa kwa waTz wote? na kwasababu au mifano ipi aliyowahi kufanya au anaifanya mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom