Kama udanganyikavo wewe kwa yale unayoyasadiki
Wewe wasema,na kusadiki mawazo yako
Naipenda sana lugha yako.
Stalin huyo. Nafikiri aliua watu wengi zaidi ya Hitler. ila mussolini naye noma.Hitler ni noma. Ila nili wahi kusikia kuwa kuna kidume mmoja mrusi alutisha sana zaidi ya Hitler.
Hakuna kitu kama hicho! Ukitaka kumuua mbwa mpe juna baya.Aisee Nduli Idd Amin aliekuwa anatafuna nyeti za mabinti alitisha sana
propaganda..vilevile alikuwa anawapakia viwete kwenye tipa na kuwamwaga mto kagera na kuliwa na mamba.