Yule mzee Laizer alikuwa bilionaire hata kabla aisee

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,602
Nimeskiliza interview yake aisee, jamaa kweli alikuwa ni tajiri tu hata asingepata ile pesa juzi.

Ana Ngombe 2000 ukipiga bei ya wastani wa Ngómbe mmoja ya sh. laki 400,000 = unapata kama wastani shilingi 800,000,000

Halafu ana mbuzi 700 ukipiga mara bei ya 150,000 kwa mbuzi mmoja = unapata kama 100,000,000

Ndo mana tukiwaambia kaskazini kuna ma Don muwe mnaelewa.

Halfu mzee wa watu kavaa simple, rubega ya 15000 tu huku superstaa wa bongo fleva anakomaa kuvaa Luis Vutton halafu mfukoni hana hata mia. Daaa haya maisha haya
 
Vijana tunataka vitu vizuri kiurahisi tu uibuke Leo maskini kesho tajiri. In short vijana wa leo hawataki mateso
Shida vijana tunaishi life la mashindano na kuangalia mwenzako ana nini, so unakuta hapo wengi hawana subira wanataka matokeo ya harak.. Ndo mana unakuta vijana wengi wametekwa na hizi scheme za get rich quickly kama kubet na mambo ya forever living sijui nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom