ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,014
Kuna Benki nchini zinapaswa kumulikwa.Kuna clip inasambaa jamaa anamzubaisha Mama wa watu Atm na kujifanya kumsaidia kumbe anamuibia,nimeona comment mahali nikaone bora nishee
Na swali la kuijiuliza kama wahusika huwa wana monitor kwenye cctv na kuona watu wanakaa ndani ya kile chumba mda mrefu mbona hawa deeal nao?walinzi je? walahi kweli hali tete,mbwa kala mbwa
- emason_20Huyo jamaa anaitwa lusajo,ni mkazi wa kyela mbeya,mm aliniibia hivyo lakini nilimfuatilia akanilipa pesa yangu na kuniongezea laki mbili,anatembelea lav 4 ya silva ya milango mitatu,inanamba T 603 ACT, baada yakumpata nilifikaktk tawi nililoibiwa ili niwasaidie kumpata wakanionganisha na makao makuu ya N MB dar ,chakushangaza hakuna kilicho endelea ,nahis hata wafanyakaz baadh wanadili nae picha za huyu jama ni nying sana bank hawachukuw hatua kabisa,c&p
Huwezi amini ni NMB hao,jamaa wako wawili wanzuga ndani ya chumba cha ATM masaa na masaa wanasubiri victims na unaambiwa huyo LUSAJO anajulikana na ma picha yake wanayo.....huko mbeleni tuaanza kuchinjana tu kwa halii hii inavyoendaKuna Benki nchini zinapaswa kumulikwa.
Haiwezekani mtu aibiwe kwenye ATM na wasipatikane wahusika ilihali kuna kamera kila ATM.
Haiwezekani mtu anapitia Corporate banking kuchukua pesa kisha anavamiwa njiani na majambazi huku ni Mfanyakazi wa benki pekee anayejua hiyo transaction...
BOT ipige kufuli baadhi ya benki wamezidi kutuibia
Matukio kama haya na ushiriki hasi wa wahusika inapelekea sheria kuchukuliwa mikononi mwa waathirika wa wizi huu...Huwezi amini ni NMB hao,jamaa wako wawili wanzuga ndani ya chumba cha ATM masaa na masaa wanasubiri victims na unaambiwa huyo LUSAJO anajulikana na ma picha yake wanayo.....huko mbeleni tuaanza kuchinjana tu kwa halii hii inavyoenda
Sijui kama nimekuelewa japo nashindwa namna ya kukuuliza pia, ngoja wengine waje labda niyaelewa zaidi
Nchi hii ina safari ndefu ikiwa raia wake ndio hawa, asante lakiniNi kweli hujaelewa au kisa mwizi katajwa mnyakyusa mwenzio Lusajo ndo unagoma kuelewa?
Hiyo Irishanipata mkuuMnalialia nini? Sisi wabongo woootee ni wezi kulingana na nafasi zetu. Ukiibiwa potezea tuu kwasabab wewe pia unaiba iwe ofisini, dukani, kazini n.k. Cha kufariji ni kwamba anayekuibia naye ataibiwa tu kwa njia nyingine. Kwa iyo kuwa mpole tu ni ishu ya KARMA.
Kuna clip inasambaa jamaa anamzubaisha Mama wa watu Atm na kujifanya kumsaidia kumbe anamuibia,nimeona comment mahali nikaone bora nishee
Na swali la kuijiuliza kama wahusika huwa wana monitor kwenye cctv na kuona watu wanakaa ndani ya kile chumba mda mrefu mbona hawa deeal nao?walinzi je? walahi kweli hali tete,mbwa kala mbwa
- emason_20Huyo jamaa anaitwa lusajo,ni mkazi wa kyela mbeya,mm aliniibia hivyo lakini nilimfuatilia akanilipa pesa yangu na kuniongezea laki mbili,anatembelea lav 4 ya silva ya milango mitatu,inanamba T 603 ACT, baada yakumpata nilifikaktk tawi nililoibiwa ili niwasaidie kumpata wakanionganisha na makao makuu ya N MB dar ,chakushangaza hakuna kilicho endelea ,nahis hata wafanyakaz baadh wanadili nae picha za huyu jama ni nying sana bank hawachukuw hatua kabisa,c&p
ipo clip huku ngoja niisake nitaweka ila unaambiwa NMB wana mapicha yake sababu kwenye atm zao ndo ofisi ya jamaa kuibia raiaAnaitwa Lusajo nani? Tusake picha zake na kumuanika! Wanaotetea humu ni wezi wenzie, pili ujue mambo ya teknojia ndugu zetu wengi hawaijui! Mwalimu anakuja mjini ATM mwisho wa mwez tu, je atajua kuna wizi mjini
ushaambiwa NMB Wana picha zake na wanawajua hao wezi sasa unadhani nini kifanyike tena?Mkuu kama tetesi hautakiwi kumshtumu mtu moja kwa moja Fanya uchunguzi ukishapata ushaidi peleka sehemu husika na ndio utoe taarifa sehemu zingine kwa tahazari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitaitafuta hiyo motokaa kesho nimnyooshe na Lori langu la mchanga.
Hahaha halafu bahati mbaya na mimi natumia Rav4 ila sio kama hiyo jamani. Sky, glad you are back.Si Lusajo wetu hapa jukwaani jamani