Yule dogo lazima mvua imnyee. Naomba Mungu afungwe miaka 10 ili liwe fundisho kwa vijana waongo kama akina lema na wengine wote.
kura 25/10 chagua Dr Magufuli chagua CCM
Huyo dogo na magufuli wanaingiliana vipi
Acha roho mbaya
Magufuli ndio mpango mzim
Muulize yule mwanasheria aliyekuwa anamtetea, in fact, waulize wana ukawa!