Yule ambae humtaki ndio mumeo

Kama nauona vile huo moyo ulivyogubikwa na wimbi la majuto[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh...hapa sijaelewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mungu awadaidie basi wakuelewe
 
Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea

Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk

Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha

Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio

Hizo ni hasara nazoziona....
Utaolewa unayempenda wewe ila deep kwake hakufeel kabisa napia utakuwa unajitesa asilimia kubwa mtu anayekufungulia moyo ndio mtu trust me

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisitizia...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivip mkuu...nisaidie hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua kuna upendo wa asili kwa kitu na upendo wa ku adopt
Rafiki yangu mmoja alikuwa ni kiwembe hatari baada ya kuumizwa sana na wanawake
Ilikuwa amepoteza kabisa matumaini ya mapenzi halisi kwa binti yeyote akikuwa ana hit and move

IKtokea binti mmoja akampenda kiasi ambacho hakielezeki, mimi nikatambua na nikamwambia mzee huyu manzi ndiyo hazina yeye akawa anasema ooh hayuko moyoni
Nilimshwashi sana atulie naye hata kwa unafiki, kna mambo mengi ya kuvutia akawaa anatendewa na yule binti baada ya hapo aktambua nafasi ya yule mwanamke na kunishukuru kwa kumpigania
Leo hii ndio mkewe na anampenda kupita maelezo
 
Tulisema wengi ila kwa sasa tunakumbuka mengi tunasema laito tungesema ndio hapa tusingekuwa tunashaanga shangaa unajua maisha nikudhubutu sio kijaribu.
Utazunguka kumbe mume yupo hapo kwako karibu mnaongea kila siku ila akija kuoa ndio mwisho wakujishaua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kabinti huku kajinga kamemuacha mchumba wake kisa mshkaji mtumishi mhuni huni tu. Kisa huyo mchumba ni mkulima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…