M mamah Member Apr 8, 2009 31 2 Dec 10, 2010 #1 yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
Gama JF-Expert Member Jan 9, 2010 13,266 4,716 Dec 10, 2010 #2 mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... alisema jk bado anang'aa
mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... alisema jk bado anang'aa
K kambipopote Senior Member Nov 15, 2010 122 22 Dec 11, 2010 #3 mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... Atakuwe mjini humu anatafuta uzushi wa kuwachanganya watanzania kama desturi yake:target:
mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... Atakuwe mjini humu anatafuta uzushi wa kuwachanganya watanzania kama desturi yake:target:
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Dec 11, 2010 #4 yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri
yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri