Ndugu wana jamii ni siku nyingi sasa zimepita bila kumsikia kiongozi huyu wa kiroho na ilisemekana yu mgonjwa na anatibiwa nje ya nchi,,,,je ameshapona na kurudi au bado anaendelea na matibabu..mwenye habari atujuze,,,,,
Anatafutwa popote alipo awe hai au mfu. Huyo haumwi ila amekimbia kibano cha uchochezi alioufanya nchini. Polisi walishatangaza kuwa atatafutwa, lakini bora asiwepo kwani ni mchochezi sana huyu jamaa.
Ndugu wana jamii ni siku nyingi sasa zimepita bila kumsikia kiongozi huyu wa kiroho na ilisemekana yu mgonjwa na anatibiwa nje ya nchi,,,,je ameshapona na kurudi au bado anaendelea na matibabu..mwenye habari atujuze,,,,,
Humu kuna watu wako mahsusi kwaajili ya kuchafua hali ya hewa...Maudhui ya sredi hii ni nini? kuna haja gani ya kutonesha vidonda? mnataka tupotezee issue ya madawa ya kulevya au? kuna scanndal gani lingine linawagubika mpaka mtuletee haya mambo ya udini... ? Mods tafadhali ipeleke kunako husika. hapa tunajadili siasa kwa maslahi mapana ya nchi yetu ...