Yuko wapi Shushushu Diwani Athumani Msuya

Yuko wapi Shushushu Diwani Athumani Msuya

spyboss

Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
45
Reaction score
69
Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.

Narudi kuutafuta usingizi tena.
 
Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi hyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.

Narudi kuutafta usingizi tena.
Ndoto gani?
Mimi nimeota ajali ya bus mbaya sana
 
Unauliza kiunafiki kwamba Unataka kujua au una nia yako binafsi tofauti?!

Ujue alipo Msuya ili ikusaidie nini wewe?! Hebu waacheni hao waliostaafu na kupumzishwa kimadaraka wale pensheni zao kwa amani. Msipende kuundaunda mambo kuhatarisha amani na kuzua taharuki vichwani mwa watanzania.
 
Naskia yupo upareni anapungwa upepo wa vijilima vya upareni
 
Anakula yale yote aliyoyavuna kipindi aliposhika hatamu.
 
Dainamiki.....

Make the World better place to live...

NUKTa.
 
Unauliza kiunafiki kwamba Unataka kujua au una nia yako binafsi tofauti?!

Ujue alipo Msuya ili ikusaidie nini wewe?! Hebu waacheni hao waliostaafu na kupumzishwa kimadaraka wale pensheni zao kwa amani. Msipende kuundaunda mambo kuhatarisha amani na kuzua taharuki vichwani mwa watanzania.
Hapo umepatwa na taharuki gani sasa
 
Wananzengo nimeamka toka usingizini baada ya kuota ndoto ya kutisha. Yupo wapi huyu aliyewahi kuwa shushushu number moja Tanzania.

Narudi kuutafuta usingizi tena.
Alikataa kwenda ubalizini.
Alikuwa shushushu no 1 wakati wa Magufuli.
Alipoingia kazini aliyakuta mengi ya wasiojulikana.
Angekubali kwenda ubalozini, ilikuwa bora kwake maana hawezi kuruhusiwa kuwa a loose cannon.
Tukumbuke vile vile kuwa wakati mama akiingia madarakani, Idara ilipigwa ganzi kutokana na kutumika vibaya na rais mtangulizi.
 
Back
Top Bottom