Mkuu hiyo kamuulize makonda atakupa jibu mujaraabuHabari za jumapili wakuu.
Ndugu zangu Wapemba poleni na kadhia mnayokutana nayo kwa sasa Mungu yupo nanyi.
Leo nimemkumbuka Prince wa zamani wa Nchi hii, ambaye alikuwa na kauli nzito na za kichochezi katika utawala uliopita hata kudiriki kutuambia Rais ajaye hatatoka KASKAZINI.
Ni muda mrefu sasa Ridhiwani J. Kikwete hajasikika au kuonekana kwenye media walau basi hata kuzungumzia utawala wa JPM.
Je yuko wapi Mbunge huyu wa Chalinze kwa sasa?
Hizo ela zilitoka mfukoni mwa magu au ni kodi za watanzania?Juzi alionekana Star Tv akikabidhiwa gari Toyota Landcruiser Hardtop nyeupe kwaajili ya wagonjwa wa jimbo lake la Chalinze, Msaada ulitolewa na Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kuwajali Watanzania wa jimbo hilo.
Hizo ela zilitoka mfukoni mwa magu au ni kodi za watanzania?
Umeosomeka mkuu,au comrade igweeeeeeeeeeeeeeeNi kodi lakini Rais amekabidhi kwa naiba ya watanzania wote mkuu wangu
Acha Wivu Wa KikeAcha wapumzike kazi walioifanya sio ndogo! Wameifanya nchi imekuwa hovyo na kama haina mwenyewe! Wameteneneza mitandao wa wezi wa mali ya umma kila sehemu! Wafanyabiashara walikuwa hawaguswi na hawalipi kodi hasa mafuta na containers za wafanya biashara wa kariakoo! Ule usemi wa zamu yetu hatukuuelewa mwanzoni
Mbona Riz Yupo Tatizo Unashinda Sana TandaleKitambo kapotea kijana
Ukishajua Itakusaidia NINI?Habari za jumapili wakuu.
Ndugu zangu Wapemba poleni na kadhia mnayokutana nayo kwa sasa Mungu yupo nanyi.
Leo nimemkumbuka Prince wa zamani wa Nchi hii, ambaye alikuwa na kauli nzito na za kichochezi katika utawala uliopita hata kudiriki kutuambia Rais ajaye hatatoka KASKAZINI.
Ni muda mrefu sasa Ridhiwani J. Kikwete hajasikika au kuonekana kwenye media walau basi hata kuzungumzia utawala wa JPM.
Je yuko wapi Mbunge huyu wa Chalinze kwa sasa?
Habari za jumapili wakuu.

Unaonyesha Unawashwa SanaMkuu hiyo kamuulize makonda atakupa jibu mujaraabu
kwani RC naye anaishi msoga enhee?Mkuu hiyo kamuulize makonda atakupa jibu mujaraabu
Hiyo kazi ya utabiri ilimponza shehe yahya akaponea chupu chupu kuchomewa nyumba yake na wapenzi wa simbaUnaonyesha Unawashwa Sana
Ni family friendkwani RC naye anaishi msoga enhee?