Kwa ufahamu wangu nsa kaisi alikuwa daktari wa wakina mama na watoto muhimbili,. Lakini kwa sasa ni mstaafu,. Sjui atakuwa wapi dsm au kwao mbeya
Kwa ufahamu wangu nsa kaisi alikuwa daktari wa wakina mama na watoto muhimbili,. Lakini kwa sasa ni mstaafu,. Sjui atakuwa wapi dsm au kwao mbeya
ukiona mtu wa siasa kipindi cha mkapa amepotea basi ujue alikua kambi ya sumaye huyooo!!
Jembe langu hilo Col. Nsa Kaisi. Enzi zake wapiga domo, wazembe, vizazabina na vibazazi havikuwa na nafasi. Kwake ilikuwa kazi tu mwanzo mwisho!
yuko wapi ? Kumbuka tunamzungumzia canal sio doctor.Inasemekana anaumri zaidi ya 80 na hana mtoto hata m1
Ni kweli huyu bwana yupo Obay,ni kati ya viongozi ambao hawana kitu miradi yake mingi imeliwa na wajanja,na hata kama ni jamaa yake usiende kwake, bila appointment,utarudi kwako huku unamuona anakuangalia,ninachompendea huyu bwana daima kwake ni ukweli mtupu hafichi neno , wenzake aliokuwa nao ambao wana fedha ni kama vile wamemtupa,ndio maisha ya bongo urafiki mkiwa kwenye neema tu kwenye shida huwaoniYupo Dar. Umemtafuta ukamkosa? To say he doesnt have a kid, do you know him that well? Trust my words...he is safe and sound!!!!
Huyu bwana pamoja na wenzake wengi kujaa makovu ya rushwa na ubabaishaji, he has remained clean...hata wakati wa mzee wa uwazi na ukweli. He is still a character as todate...
A word of advise....usiende kwake bila appointment,lol!
Acha uongo hajafikisha miaka 70 na ana mtoto 1,anaishi obay na upanga.yuko wapi ? Kumbuka tunamzungumzia canal sio doctor.Inasemekana anaumri zaidi ya 80 na hana mtoto hata m1
Namkumbuka lilikuwa bonge la jembe enzi za mwalinu. Alipokuwa mkuu wa mkoa Kagera nakumbuka hakuwa na mke wala hausugeli kwakwe. Tabia yake hiyo hiyo, ukimsapraizi kwake utakuta anapiga deki (akiwa mkuu wa mkoa) na akikuheshimu sana asikutoe benzi atakutole kiti chini ya mti whoever you are na ataendelea kudeki. Patakapokauka ndo atakukaribisha ndani. Nkais bwana!
Kuna tofauti kati ya Prof Kaisi na Kanali Nsa Kaisi.
Prof hd 2010 alikuwa MUHAS anafundisha kwa mkataba baada ya kustaafu, na alikuwa amepooza mkono. Hajawahi kuwa RC wala DC, mkewe alipata kuwa Kabidhi Wasii Mkuu, na ndiyo wazazi wa Sarah Kaisi a.k.a Shaa, yule mwanamuziki.
Usituchanganyie habari!
Namkumbuka lilikuwa bonge la jembe enzi za mwalinu. Alipokuwa mkuu wa mkoa Kagera nakumbuka hakuwa na mke wala hausugeli kwakwe. Tabia yake hiyo hiyo, ukimsapraizi kwake utakuta anapiga deki (akiwa mkuu wa mkoa) na akikuheshimu sana asikutoe benzi atakutole kiti chini ya mti whoever you are na ataendelea kudeki. Patakapokauka ndo atakukaribisha ndani. Nkais bwana!
siyo kweli jamaa hana tamaa hiyo.Tetesi zilisikika alinunua kiwanda fulani kwenye ubinafsishaji kwa shs. Milioni 500.
Labda anaendesha kiwanda chake.