mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,705 Reaction score 7,214 Mar 31, 2021 #1 Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu. Yuko nchini?
Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu. Yuko nchini?
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,044 Mar 31, 2021 #2 Mwache apumzike vijana wa CCM mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Mar 31, 2021 #3 Yupo anajipanga kupata uteuzi
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,352 Mar 31, 2021 #4 Soma Ishara Na Alama Taratibu Mwanri Alisema Fyekelea Fyekelea Mbali 😀😁😂😃😄😄😅😆😆😅😄😃😂😀
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,729 Reaction score 14,886 Mar 31, 2021 #5 Kinana aliisha waachia CCM yao baada ya kumdhalilisha!!! Ukiambiwa kuna KARMA lazima ukubali.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,120 Reaction score 5,871 Mar 31, 2021 #6 Atakua nyumbani kwake mi nahisi...
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,751 Reaction score 3,691 Mar 31, 2021 #7 Najaribu kukumbuka Peter Ndolvu alikuwa na umaarufu gani?
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,705 Reaction score 7,214 Mar 31, 2021 Thread starter #8 JOESKY said: Mwache apumzike vijana wa ccm mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita Click to expand... Mkuu umewahi kuona nimemtukana huyu Mzee
JOESKY said: Mwache apumzike vijana wa ccm mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita Click to expand... Mkuu umewahi kuona nimemtukana huyu Mzee
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,705 Reaction score 7,214 Mar 31, 2021 Thread starter #9 Emmanuel Kasomi said: Yupo anajipanga kupata uteuzi Click to expand... Hawezi kukubali. Ule ukatibu Mkuu alibembelezwa sana lakini alishaamua kukaa na wajukuu zake
Emmanuel Kasomi said: Yupo anajipanga kupata uteuzi Click to expand... Hawezi kukubali. Ule ukatibu Mkuu alibembelezwa sana lakini alishaamua kukaa na wajukuu zake
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,172 Reaction score 3,265 Mar 31, 2021 #10 Mwacheni makamu mwenyekiti ajaye
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,705 Reaction score 7,214 Mar 31, 2021 Thread starter #11 bucho said: Mwacheni makamu mwenyekiti ajaye Click to expand... Hawezi kukaa na vijana waliovamia chama na kuanza kumtukana
bucho said: Mwacheni makamu mwenyekiti ajaye Click to expand... Hawezi kukaa na vijana waliovamia chama na kuanza kumtukana
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #12 mngony said: Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu. Yuko nchini? Click to expand... Akafanye nini kwenye chama kilicho kusudia kumfukuza uanachama?
mngony said: Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu. Yuko nchini? Click to expand... Akafanye nini kwenye chama kilicho kusudia kumfukuza uanachama?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Mar 31, 2021 #13 Shehullohi said: Najaribu kukumbuka Peter Ndolvu alikuwa na umaarufu gani? Click to expand... Wewe jamaa una akili kama za sungura mjanja na hapa wengi watatoka kapa.
Shehullohi said: Najaribu kukumbuka Peter Ndolvu alikuwa na umaarufu gani? Click to expand... Wewe jamaa una akili kama za sungura mjanja na hapa wengi watatoka kapa.
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Mar 31, 2021 #14 mngony said: Hawezi kukubali. Ule ukatibu Mkuu alibembelezwa sana lakini alishaamua kukaa na wajukuu zake Click to expand... Kweli akae na wajukuu tu
mngony said: Hawezi kukubali. Ule ukatibu Mkuu alibembelezwa sana lakini alishaamua kukaa na wajukuu zake Click to expand... Kweli akae na wajukuu tu
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,507 Mar 31, 2021 #15 Kwani Mheshimiwa mbowe yuko wapi mkuu?
IDEGENDA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 4,492 Reaction score 5,345 Mar 31, 2021 #16 JOESKY said: Mwache apumzike vijana wa ccm mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita Click to expand... Vipi ile kesi ambayo chadema walimpa ya ujangili bado anayo?
JOESKY said: Mwache apumzike vijana wa ccm mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita Click to expand... Vipi ile kesi ambayo chadema walimpa ya ujangili bado anayo?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,046 Reaction score 13,171 Mar 31, 2021 #17 Poacher
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,087 Mar 31, 2021 #18 misasa said: Poacher Click to expand... Ndo yeye aliyesema ATCL inapata faida wkt imetengeneza hasara kwa miaka 5?
misasa said: Poacher Click to expand... Ndo yeye aliyesema ATCL inapata faida wkt imetengeneza hasara kwa miaka 5?
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,046 Reaction score 13,171 Mar 31, 2021 #19 Torque vs HP said: Ndo yeye aliyesema ATCL inapata faida wkt imetengeneza hasara kwa miaka 5? Click to expand... Ni yeye alikuwa anapandisha twiga ndege na makontena waliondoka nayo China
Torque vs HP said: Ndo yeye aliyesema ATCL inapata faida wkt imetengeneza hasara kwa miaka 5? Click to expand... Ni yeye alikuwa anapandisha twiga ndege na makontena waliondoka nayo China
Torque vs HP JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,768 Reaction score 5,087 Mar 31, 2021 #20 misasa said: Ni yeye alikuwa anapandisha twiga ndege na makontena waliondoka nayo China Click to expand... Huku akijijengea na uwanja kijijini kwao.
misasa said: Ni yeye alikuwa anapandisha twiga ndege na makontena waliondoka nayo China Click to expand... Huku akijijengea na uwanja kijijini kwao.