Wapenzi wa muziki nadhani mnamkumbuka kijana wetu mwimbaji Wazir Sonyo .Ninaomba kujua yuko wapi na je anaendeleza kipaji chake cha uimbaji au ndio kapotea?
Wapenzi wa muziki nadhani mnamkumbuka kijana wetu mwimbaji Wazir Sonyo .Ninaomba kujua yuko wapi na je anaendeleza kipaji chake cha uimbaji au ndio kapotea?
MARA YA MWISHO NIMEMWONA MWAKA 2017 MWEZI WA NANE ANAZUNGUKA KWENYE MABAA KULE MTWARA MJINI AKIWAIMBIA WATU WAKIWA WANAPATA KILEVI BAADA YA KUWAPIGIA NYIMBO KAMA MBILI TATU BASI ANAPITA KWENYE KILA MEZA ATAKAYEJISIKIA KUMTUZA ANAMTUZA 500 au 1,000 au 1,0000 n.k .KIUFUPI JAMAA KACHAKAA BALAA