Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,339
- 3,358
Kalijichanganya juzi na kenyewe kakachukuliwa mateka na polisi wa Saa Mia!Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.
Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema.
'Mzalendo' huyu Paschal Mayalla amekuwa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Kulikoni ukimya huu Paschal ?
Kulaani, kukosoa, kuelimisha 'kizalendo' kama ambavyo hujinasibu humu jukwaani.Unategemea ataandika nini, na wakati wa mambo yote yako hadharani!
Hivi sasa amejificha,hataki kwenda Mabwepande au Bwagamoyo.Kwa maslahi ya taifa imeenda likizo kwa muda vumbi litulie.Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.
Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema.
'Mzalendo' huyu Paschal Mayalla amekuwa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Kulikoni ukimya huu Paschal ?
Huyo ni kunguru muoga.Kulaani, kukosoa, kuelimisha 'kizalendo' kama ambavyo hujibasibu humu jukwaani.
Pascal Mayalla okuje huku unaitwa utie neno.Nae ni binadamu, lazima aogope wasiojulikana.
Mjambazi wa mama walipiga kazi sana hadi shetani mwenyewe kashangaa.Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.
Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema.
'Mzalendo' huyu Paschal Mayalla amekuwa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Kulikoni ukimya huu Paschal ?
Huwa hanatabia ya kujificha, yuko upande wao.Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.
Lakini kinacho nishangaza tangu tukio la juzi pale kisutu na viunga vya Dar es salaam la kuwashambulia na kuwateka wana Chadema.
'Mzalendo' huyu Paschal Mayalla amekuwa kimya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Kulikoni ukimya huu Paschal ?
Anatafakali!Mwandishi nguli na mwana JF mwenzetu Pascal Mayalla, amekuwa kinara wa kuandika makala za 'kizalendo' hapa JF za kuonya, kuelimisha, kukosoa na kutabiri.