Larkspur JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 205 Reaction score 260 Apr 27, 2020 #61 Sifa yake kubwa mkuu ni kuwahi mamba katika kila thread. Yuko wapi huyu mkuu? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa yake kubwa mkuu ni kuwahi mamba katika kila thread. Yuko wapi huyu mkuu? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
Larkspur JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 205 Reaction score 260 Apr 27, 2020 #62 Na kwanini tusione? Kwamba hatuna macho au? Larkspur Prodigy Oligarchy said: Sasa, naelewa kwanini Smart911 saa zote anaku 'cc' Hongera Sinanuhakika kama wote tumeona nilichokiona Mimi. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwanini tusione? Kwamba hatuna macho au? Larkspur Prodigy Oligarchy said: Sasa, naelewa kwanini Smart911 saa zote anaku 'cc' Hongera Sinanuhakika kama wote tumeona nilichokiona Mimi. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Larkspur JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 205 Reaction score 260 Apr 27, 2020 #63 Hahaha tuko wengi mkuu ambao tulikua tunafurahishwa na ile avatar. Kukaja Kununu said: Mimi ile avatar yake tu nilikuwa nacheka Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tuko wengi mkuu ambao tulikua tunafurahishwa na ile avatar. Kukaja Kununu said: Mimi ile avatar yake tu nilikuwa nacheka Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Larkspur JF-Expert Member Joined Aug 30, 2016 Posts 205 Reaction score 260 Apr 27, 2020 #65 Hii account mbona inaonekana iko "active"? Huyu mkuu yupo anatuchora tuu. Yawezekana ndio huyu mkuu aloanzisha hii thread. Multiple IDs maybe ...but sijui cz sina uhakika. Mkuu Joseverest njoo u clear hizi myth hapa. Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
Hii account mbona inaonekana iko "active"? Huyu mkuu yupo anatuchora tuu. Yawezekana ndio huyu mkuu aloanzisha hii thread. Multiple IDs maybe ...but sijui cz sina uhakika. Mkuu Joseverest njoo u clear hizi myth hapa. Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app
Kukaja Kununu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 1,077 Reaction score 1,210 Apr 27, 2020 #66 Ahahaahah NAKWEDE said: View attachment 1432056View attachment 1432056View attachment 1432056View attachment 1432056 Click to expand...
Ahahaahah NAKWEDE said: View attachment 1432056View attachment 1432056View attachment 1432056View attachment 1432056 Click to expand...
Prodigy Oligarchy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2020 Posts 571 Reaction score 656 Apr 27, 2020 #67 Larkspur said: Na kwanini tusione? Kwamba hatuna macho au? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nikajua bado utakua umelala kama ulivyonaswa na camera za avatar za jf
Larkspur said: Na kwanini tusione? Kwamba hatuna macho au? Larkspur Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nikajua bado utakua umelala kama ulivyonaswa na camera za avatar za jf
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Apr 27, 2020 #68 Atakuwa kapata kazi kwa wahindi maana alikuwa jobless
Umuzukuru JF-Expert Member Joined May 30, 2019 Posts 624 Reaction score 561 Apr 27, 2020 #69 Nipo wakuu🙏🙏🙏
Johnny Sins JF-Expert Member Joined Nov 4, 2019 Posts 2,536 Reaction score 3,883 Apr 27, 2020 #70 Yupo chattle kajificha
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Apr 27, 2020 #71 I'd yake mpya hii hapa carbamazepine
prosper cliff JF-Expert Member Joined Jan 19, 2017 Posts 662 Reaction score 701 Apr 27, 2020 #72 Baharia Wa Buza said: Yupo chattle kajificha Click to expand... ww jamaa kwan kawa jiwe hadi ajifiche chattle
Baharia Wa Buza said: Yupo chattle kajificha Click to expand... ww jamaa kwan kawa jiwe hadi ajifiche chattle
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 Apr 28, 2020 #73 Kichwa Kichafu said: I'd yake mpya hii hapa carbamazepine Click to expand... jamani Hivi unajua huna akili??
Kichwa Kichafu said: I'd yake mpya hii hapa carbamazepine Click to expand... jamani Hivi unajua huna akili??
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Apr 28, 2020 #74 Tulia wewe dawa ikuingie wanaita "bwai na iwe bwai" carbamazepine said: jamani Hivi unajua huna akili?? Click to expand...
Tulia wewe dawa ikuingie wanaita "bwai na iwe bwai" carbamazepine said: jamani Hivi unajua huna akili?? Click to expand...
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 Apr 28, 2020 #75 Kichwa Kichafu said: Tulia wewe dawa ikuingie wanaita "bwai na iwe bwai" Click to expand... Hivi unajua kuna watu wataamini haya maneno yako?
Kichwa Kichafu said: Tulia wewe dawa ikuingie wanaita "bwai na iwe bwai" Click to expand... Hivi unajua kuna watu wataamini haya maneno yako?
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Apr 29, 2020 #76 carbamazepine said: Hivi unajua kuna watu wataamini haya maneno yako? Click to expand... Nakuchafua kisiasa😛😛
carbamazepine said: Hivi unajua kuna watu wataamini haya maneno yako? Click to expand... Nakuchafua kisiasa😛😛
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 Apr 29, 2020 #77 Na id ya kichwa kichafu ni yangu pia Kichwa Kichafu said: Nakuchafua kisiasa Click to expand...
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Apr 29, 2020 #78 Unaandika unajijibu carbamazepine said: Na id ya kichwa kichafu ni yangu pia Click to expand...
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,569 Reaction score 285,616 Apr 29, 2020 #79 Kichwa Kichafu said: Unaandika unajijibu Click to expand... Ewaaa! Najisemesha mwenyewe
gspain JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 2,942 Reaction score 6,133 Apr 29, 2020 #80 Jamaa yupo kuna uzi leo nimeona kacomment ila sikumbuki ni uzi gani.