Yuko wapi mtangazaji Frank Mtao?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,534
Reaction score
61,965
Huyu jamaa miaka ya nyuma alijipatia umaarufu kupitia kipindi cha Nani ni Nani kilichokuwa kinarushwa na Channel Ten. Ni muda umepita sijamsikia katika media yoyote ile, yuko wapi mtangazaji huyu aliyejipatia umaarufu miaka ya nyuma?
Mwenye kujua atujuze!
 
Hivi huyu Frank Mtao si ndio alikuwa mume wake chuchu hans yule aliyezaa na Ray Kigosi kama sijakosea aliendaga Australia na akaoa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…