Yuko wapi Mheshimiwa dada Mhonga Ruhanywa?

Yuko wapi Mheshimiwa dada Mhonga Ruhanywa?

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
696
Binti huyu aliyezaliwa mwaka 1979 amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana.

Amekuwa haonekani kwenye public na hata bungeni amekuwa hasikiki wala hana mchango wowote.

Huyu ana 'ukaribu' na Zitto, ukaribu ambao naomba nisiseme sana.

Muhonga alihusishwa na kutaka kuihujumu chadema akiwa na walioitwa wasaliti.

Mhonga ana digrii moja ya Sosholoji na amekuwa ni mmoja wa wabunge mizigo kwa Chama chake Chadema na kwa walipakodi.

Inaaminika katika kupeana ubunge kindugu, waliamua kumpa huyu 'mtu wa karibu' na Zitto ili kubalansisha.

Yuko wapi MHONGA RUHANYWA?
 
Yuko kajaaa mrembo huyo....siku hizi analipa ile mbaya...!!! Angalia bunge..
 
Kama hawa mlioko humu ndio vijana wa Tanzania, viongozi tarajali basi iko shida kubwa kwenye mustakabali wa nchi hii. Badilikeni
 
Acheni hizo hayo ni maisha binafsi, hata jogoo huwa anamhonga mtetea mdudu ili apate ile kitu. Sembuse binadamu?
 
Huyu Muhonga sijawahi kumuona au kumsikia anakuja Kigoma na hana msaada wowote kiukweli,anazidiwa na yule mdada wa Ujiji mtoto wa Mzee Sungura.Najua muda si mbali atamfuata Zitto kwa sababu ataanza porojo za kubaguliwa baada ya kukosa Ubunge huo,sijui walitumia vigezo gani kumpa ubunge huyu.Tatizo la wanasiasa wetu wa Kigoma ndio hilo sijui nani aliwaroga!
 
Kwa viti maalumu cdm wabunge wake wengi nao ni shida, mfano huyo muhonga, letisia nyerere na wengineo. Cdm wasiturudishie tena wabunge wa aina hii tena bungeni.
 
Back
Top Bottom