Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
Gwajima tunamuhitaji sana kipindi hiki tuendeleze harakati.
Yupo kimyaaa tangu oct 26 .
Tunamuhitaji atupe neno liweze kuponya nyoyo zetu.
Tunamuhitaji atupe dondoo mbili tatu na next moves baada ya hapa.
Nini hatima ya makanisa yake 2600 , je yupo tayari kukaa chini kujirudi ili makanisa yake yafunguliwe?
Nini kifanyike ili waumini wake wapate tena haki ya kuabudu?
Tunahitaji atupe mtazamo wake kuhusu uchaguzi huu uliofanyika na nini anaona kitaenda kutokea huko mbeleni.