Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,473 Reaction score 17,979 Sep 8, 2014 #1 Ni muda mrefu sasa sijamsikia au kumwona mbunge wangu, wa jimbo la moshi vijijini Ndg Cyril Chami. Mara ya mwisho kumsikia ni alipojiuzulu/achishwa nafasi yake ya unaibu Waziri. Yupo wapi Cyril Chami?
Ni muda mrefu sasa sijamsikia au kumwona mbunge wangu, wa jimbo la moshi vijijini Ndg Cyril Chami. Mara ya mwisho kumsikia ni alipojiuzulu/achishwa nafasi yake ya unaibu Waziri. Yupo wapi Cyril Chami?
kibaa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 717 Reaction score 179 Sep 8, 2014 #2 hivi bado ni mbunge moshi vijijini?
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,360 Sep 8, 2014 #3 Badala ya kuuliza anaumwa nini wewe unauliza yupo wapi?Hivi huna macho ya kuona kuwa mheshimiwa sana Chami anaumwa?
Badala ya kuuliza anaumwa nini wewe unauliza yupo wapi?Hivi huna macho ya kuona kuwa mheshimiwa sana Chami anaumwa?
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Sep 8, 2014 #4 atakuwa anajipanga kwa 2015.....
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Apr 21, 2019 #5 Yuko Dodoma,anafundisha St.John