Ambassador, asante kwa kunikumbuka. Nipo nimerejea maeneo ambako naweza kusoma na kuchangia kwenye mitandao. Kwa miezi kadhaa nilikuwa kwenye mihangaiko ya maisha huko mikoani na nchi jirani. Si unajua tena shillingi imeota matairi na ni lazima uikimbize huku na kule.