Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
Bunge ndio linaisha jumatatu kwa staili ambayo bado hatujaweza kuitabiri vyema. Sijabahatika kumsikia Lusinde popote. Aliwatukana cdm kuwa wamechanjwa chale makalioni. Alisema baadhi yao wamefanywa vibaya. Alisema wamejinyea.
Alisema mengi maovu. Ni wapi Lusinde alisimama na kutoa hoja ndani ya Bunge la sasa? Ni kweli hayo matusi walistahili cdm? Nafikia hatua ya pili ya kuamini kuwa watu wa aina ya Lusinde huwa wanatumiwa kama leso tu na mwisho wa siku kutupwa! Lusinde ni leso, no more no less!

Bahat mbaya sikumsikia 'live'. Hivi, baada ya kutamka neno hilo alijaribu kulirekebisha hapohapo au aliliacha kwanza mpaka baada ya kutwangwa muongozo/taarifa na Mheshimiwa ndo akaleta hayo maelezo ?hujasikia leo Bi Kiroboto anaomba radhi kinafiki baada ya kumuita Mbowe, 'jambazi' kwenye hansadi?
ccm kashfa na matusi ni jadi yao.
Ameuchuna anasubiria nafasi ya kuteuliwa kuwa waziri nini?
Unazungumzia lusinde yule mvutamoshi?