Unafahamu kauli za Mhe. wetu ENL akizingimza nchi nzima inajua na inatikisika, watu wanaanza kupoteza koki wakimsikia.
Kweli ENL ni Rais ajaye 100% panapo majaliwa tupate tume huru tu maana hadi sasa hawachomoki.
Wame fail kila kitu hata uhakika wa mlo mmoja kwa Watz. wote ni msamiati,wamebakia wakishika hiki mara kile....yaani wamechanaganyikiwa na muda nao unawatupa mkono wanapaswa kutupa hesabu.