Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya Magufuli na nimekuwa na maswali ya kujiuliza kuhusu Kinana. Mbona simuoni katika kampeni za magufuli au na yeye ameamua kumsusa kama walivyofanya Mkapa na Mwinyi?

Nadhani yupo bize na kampeni. Katibu Mkuu wa Chama anatakiwa afanye kampeni za kusaka kura kichini chini au zinazoitwa za ndani na wengine waende majukwaani. Pili Katibu Mkuu kama mwenyekiti wa kamati ya kampeni anatakiwa kuandaa mipango ya chama ikiwa ni pamoja na kusaidia walio mstari wa mbele
Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya Magufuli na nimekuwa na maswali ya kujiuliza kuhusu Kinana. Mbona simuoni katika kampeni za magufuli au na yeye ameamua kumsusa kama walivyofanya Mkapa na Mwinyi?
Mkapa na Mwinyi wale ni wazee sana. Hawaziwezi kashkash za kampeni. Na Mkapa ukimpa kazi ya kukukampenia ujue ndo amekuharibia.
Mm sio msemaji wa ccm lakini nijuavyo kinana ametumia muda wake wote tangu awe katibu mkuu kuzurura kila kijiji cha Tanzania. Definately he is tired. Kwaiyo tusijudge negatively tu kuna strategic plan iko underway. Ila kum-manage Magufuli napo ni shughuli!!
Kinana ana kashfa ya Meno ya Tembo.
Wazee wamemwacha ili asiwe agenda kwa upinzani. CCM walitegemea 'kumchapa' EL kwa kashfa ya Richmond ambapo response yake imebuma, kwaiyo Kinana ana Sababu zake tu
Anasadikiwa kuwa chanzo cha sr zao kwa Ukawa. Na miongoni mwa wasaliti aliowataja Makomeo na yy yumo. So kaamua kujiweka pembeni ili ajifanyie vizuri "BIASHARA ZAKE"
Naskia amesanukiwa naye alikua team Lowasa kichinichini ndo mana wamempiga stop kwenye mikutano ya magufuli. wanadai nae ni snitch kumbe alikua upande wa lowasa