Yuko wapi Kinana?

Yuko wapi Kinana?

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,906
Reaction score
2,699
Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya Magufuli na nimekuwa na maswali ya kujiuliza kuhusu Kinana. Mbona simuoni katika kampeni za magufuli au na yeye ameamua kumsusa kama walivyofanya Mkapa na Mwinyi?
 
mzee anapumzika,kawaachia vijana kwani kazi siyo kubwa sana
 
Ameshachukua chake baada ya kuona Kina Slaa na Lipumba wamelambishwa mpunga bila kufanya kazi yoyote akaona atakufa masikini...chukua chako mapema...
 
kajiuzulu ila kaombwa kutokutangaza hadi uchaguzi uishe
 
Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya Magufuli na nimekuwa na maswali ya kujiuliza kuhusu Kinana. Mbona simuoni katika kampeni za magufuli au na yeye ameamua kumsusa kama walivyofanya Mkapa na Mwinyi?
Nadhani yupo bize na kampeni. Katibu Mkuu wa Chama anatakiwa afanye kampeni za kusaka kura kichini chini au zinazoitwa za ndani na wengine waende majukwaani. Pili Katibu Mkuu kama mwenyekiti wa kamati ya kampeni anatakiwa kuandaa mipango ya chama ikiwa ni pamoja na kusaidia walio mstari wa mbele
 
Ameshachukua chake baada ya kuona Kina Slaa na Lipumba wamelambishwa mpunga bila kufanya kazi yoyote akaona atakufa masikini...chukua chako mapema...
Ha hahaaa na kweli. Wee unapigika kila siku halafu wakuja anavuna fastaaa. Hata mi nisingekubali
 
Mbona niliskia ashachukua chake mapema 1,7b ya kampeni eti ikaandikiwa matumiz mbalimbali .Ndio faster tukaanza mwona January makamba akilisongesha ?
 
Nimekuwa nikifuatilia sana mikutano ya Magufuli na nimekuwa na maswali ya kujiuliza kuhusu Kinana. Mbona simuoni katika kampeni za magufuli au na yeye ameamua kumsusa kama walivyofanya Mkapa na Mwinyi?
Mkapa na Mwinyi wale ni wazee sana. Hawaziwezi kashkash za kampeni. Na Mkapa ukimpa kazi ya kukukampenia ujue ndo amekuharibia.

Mm sio msemaji wa ccm lakini nijuavyo kinana ametumia muda wake wote tangu awe katibu mkuu kuzurura kila kijiji cha Tanzania. Definately he is tired. Kwaiyo tusijudge negatively tu kuna strategic plan iko underway. Ila kum-manage Magufuli napo ni shughuli!!
 
Kinana ana kashfa ya Meno ya Tembo.
Wazee wamemwacha ili asiwe agenda kwa upinzani. CCM walitegemea 'kumchapa' EL kwa kashfa ya Richmond ambapo response yake imebuma, kwaiyo Kinana ana Sababu zake tu
 
Khaaa! Kuna jamaa anasema eti wamempiga stop! eti sosi ni yeye mwnyewe.
 
Anasadikiwa kuwa chanzo cha sr zao kwa Ukawa. Na miongoni mwa wasaliti aliowataja Makomeo na yy yumo. So kaamua kujiweka pembeni ili ajifanyie vizuri "BIASHARA ZAKE"
 
Kuna bilioni moja ya hela ya mabango ya ccm haijulikani ilipo, miongoni mwa watu wanaoweza kujua ni dentist.
 
Kuna mradi wa kuchukua jino bila kuuwa swala? Mwenye utaalamu nijuze
 
Naskia amesanukiwa naye alikua team Lowasa kichinichini ndo mana wamempiga stop kwenye mikutano ya magufuli. wanadai nae ni snitch kumbe alikua upande wa lowasa
 
Back
Top Bottom