Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 208
Wakati chama cha ukombozi CDM kikiendele kutoa elimu ya uraia ili kuwatoa utumwani watanzania natoa ushauri kwa kijana Bw Julius Mtatilo asome alama za nyakati. Kama magamba wasema ccm sio baba wala mama yao itakua cuf?. Hamia airtel ww shauri yako.....
Supervisor,
mtatiro ni rafiki yangu na nilijuana nae tukiwa UDSM. Ni jembe kwa uhakika lakini nilimshangaa sana tulipomaliza chuo yeye akachagua kwenda CUF. Nilimwambia kabisa kazi anayoenda kufanya yeye siyo wa kwanza. Wilfred Lwakatare aliwai kuifanya ikamshinda akamua kuhamia CDM. Akunielewa, lakini namjua atarudi kundini tu. Ni swala la muda.
TUMBIRI wa JF
Mkuu mbona mtatiro yupo 2, mara ya mwisho nakumbuka alikuwa Arusha akitoa povu lakin kwa sasa sijui yupo wapi may be kaenda Oman au saud arabia kwa ziara ya kichama.