xng hua JF-Expert Member Joined Sep 24, 2016 Posts 3,301 Reaction score 5,379 Oct 10, 2016 #41 asirudi tuu akae hukouko tuu rohoo inauma Kwao kuna nyasi bandia lkn nyamagana tff haina ela
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Oct 10, 2016 #42 si yupo kagera yeye ndo mweee nyeeekitiii kule chaaa maa chaa sooo kaaa
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 10, 2016 #43 Iceman 3D said: Huyu jamaa kwa kweli huwa simkubali kabisa kabisa, nasubiri huo uchaguzi mwakani nione kama atapita Click to expand... atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka!
Iceman 3D said: Huyu jamaa kwa kweli huwa simkubali kabisa kabisa, nasubiri huo uchaguzi mwakani nione kama atapita Click to expand... atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 10, 2016 #44 screpa said: Hivi huyu si ndio baba wa Diva? Click to expand... bamdogo diva!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 10, 2016 #45 nkuwi said: yupo humu mkuu, hata hapa kwenye uzi huu yupo namuona amecomment kwa ID nyingine sio hii Click to expand... kumbe na wewe umemuona
nkuwi said: yupo humu mkuu, hata hapa kwenye uzi huu yupo namuona amecomment kwa ID nyingine sio hii Click to expand... kumbe na wewe umemuona
salazar JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 681 Reaction score 390 Oct 10, 2016 #46 From lake zone
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,611 Oct 11, 2016 #47 geniveros said: atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka! Click to expand... Ahahahahaha nimecheka Sana.... kwamba kanda ya Ziwa???
geniveros said: atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka! Click to expand... Ahahahahaha nimecheka Sana.... kwamba kanda ya Ziwa???
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,735 Reaction score 10,360 Oct 11, 2016 #48 Hana formula kabisaaa, soka limezidi kudidimia tu
Y yansiza Senior Member Joined Mar 11, 2016 Posts 125 Reaction score 49 Oct 25, 2016 #49 geniveros said: atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka! Click to expand... Mmmh inwezekna ikawa kweli! Subir nyani ngabu aje akutumie radi
geniveros said: atapita kwa figisu nlitarajia atakuja kumpindua leodgar kwenye uongozi Ila yy ndo amekuwa mbovu mnoo! halafu nimegundua huku kanda ya ziwa hawafai kuwa wakuu wa mamlaka! Click to expand... Mmmh inwezekna ikawa kweli! Subir nyani ngabu aje akutumie radi
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Oct 25, 2016 #50 Kyalow said: Ahahahahaha nimecheka Sana.... kwamba kanda ya Ziwa??? Click to expand... hawafai kua viongozi wakuu hawa wanapaswa kua watumwa tuuu!!
Kyalow said: Ahahahahaha nimecheka Sana.... kwamba kanda ya Ziwa??? Click to expand... hawafai kua viongozi wakuu hawa wanapaswa kua watumwa tuuu!!
Dont JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 233 Reaction score 198 Oct 25, 2016 #51 GENTAMYCINE said: Asipopita tena kuwa Rais wa TFF mwakani naachia ' haja kubwa ' pale Posta Askari Monument mchana kweupe tena nikiwa ' mubashara ' kabisa Mkuu. Click to expand... Navuta picha gentamycine anaachia haja kubwa na dushe lake au papuchi ikiwa mubashara.. Kaazi kweli kweli
GENTAMYCINE said: Asipopita tena kuwa Rais wa TFF mwakani naachia ' haja kubwa ' pale Posta Askari Monument mchana kweupe tena nikiwa ' mubashara ' kabisa Mkuu. Click to expand... Navuta picha gentamycine anaachia haja kubwa na dushe lake au papuchi ikiwa mubashara.. Kaazi kweli kweli
Kyalow JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,563 Reaction score 2,611 Oct 26, 2016 #52 geniveros said: hawafai kua viongozi wakuu hawa wanapaswa kua watumwa tuuu!! Click to expand... Nina Rafiki yangu kutoka kanda ya Ziwa ni C & P ya mkulu...
geniveros said: hawafai kua viongozi wakuu hawa wanapaswa kua watumwa tuuu!! Click to expand... Nina Rafiki yangu kutoka kanda ya Ziwa ni C & P ya mkulu...