Amekukosea nini mzee wa watu??au alishawahi kukufanyia ubabe gani??usitafute kiki kwa kupitia migongo ya watu wasiokuhusu
Ndio nyie mnaotafata fata watu mkipigwa Pala kimya kimya mnasema mmetekwa
Mkihojiwa mateso mlioyapata hamyaelezi wala hamwataji watekaji.kisaaa,!!!!!!
Mmeliwa Wali Mchuzi Juu[emoji1321]