Nimebadilisha jina tu. Mods walinipiga life ban nikashtukizia wamenirudishia ikabidi niibadilishe jina kutoka Copenhagen dn to Maghayo 'the notorious @$$ kicker' mtaalam mwenyewe wa kufundisha samaki kuogelea.Mkuu ile ID yako yako ya zamani imekuaje tena?
Haha ni kosa gani hilo kubwa ulifanya hadi ukapewa life ban?Nimebadilisha jina tu. Mods walinipiga life ban nikashtukizia wamenirudishia ikabidi niibadilishe jina kutoka Copenhagen dn to Maghayo 'the notorious @$$ kicker' mtaalam mwenyewe wa kufundisha samaki kuogelea.
Mzuka wanaJF!
Dogo kawa kimya sana tangu alipokamatwa na kuswekwa ndani kwa kumdhihaki picha aliyeenda zake.
Sijui walimfanyia nini kituoni Oysterbay?
Yani hadi kasusa mitandao ya kijamii. Asiogope ajitokeze tu sasa hivi tumeona watu wanaujasiri kama CAG, Ndugai na Assad.
Pia Mo na Roma wajitokeze waseme yote waliofanyiwa kuna utawala mpya sasa hivi.
Niambie mtu wangu Dalmine. Nakutakia mfungo mwema wiki hii. Waislamu wa skendinevia wanashukuru at least imeangukia April. Ingeangukiwa june july kufuturu ni saa sita za usiku jua linapozama.Mkuu, umekuja na ID nyingine tena! Aise zimefika ngapi kwa sasa
Niambie mtu wangu Dalmine. Nakutakia mfungo mwema wiki hii. Waislamu wa skendinevia wanashukuru at least imeangukia April. Ingeangukiwa june july kufuturu ni saa sita za usiku jua linapozama.
Yesu akubariki mkuu
Yupo kwenye mitandao ya kijamiiMzuka wanaJF!
Dogo kawa kimya sana tangu alipokamatwa na kuswekwa ndani kwa kumdhihaki picha aliyeenda zake.
Sijui walimfanyia nini kituoni Oysterbay?
Yani hadi kasusa mitandao ya kijamii. Asiogope ajitokeze tu sasa hivi tumeona watu wanaujasiri kama CAG, Ndugai na Assad.
Pia Mo na Roma wajitokeze waseme yote waliofanyiwa kuna utawala mpya sasa hivi.
Mzuka wanaJF!
Dogo kawa kimya sana tangu alipokamatwa na kuswekwa ndani kwa kumdhihaki picha aliyeenda zake.
Sijui walimfanyia nini kituoni Oysterbay?
Yani hadi kasusa mitandao ya kijamii. Asiogope ajitokeze tu sasa hivi tumeona watu wanaujasiri kama CAG, Ndugai na Assad.
Pia Mo na Roma wajitokeze waseme yote waliofanyiwa kuna utawala mpya sasa hivi.
Unaendeleaje hapo kwa shemeji yako?Yupo kwenye mitandao ya kijamii
Mume wa dadaako kakuwekea bando ili uje mitandaoni kuulizia wasaniiUnaendeleaje hapo kwa shemeji yako?
...Idris yupo kimya? Tafuta filamu aliyocheza huko Netflix.Mzuka wanaJF!