Mwisho wa ubaya ni aibu.Na yuko wapi Maulid Kitenge aliyemthibiti Kisanduku
Hakuna kitu cha muhimu kwenye maisha kama kujua kwamba kuna kesho na kuelewa kwamba mambo ya leo sio ya kesho.
Kisanduku Kisanduku😆😆
😆😊😃Amerudi tena shimoni.Hadi kuna siku Prince aliongea kwa hisia sana aliposema yani jamaa walimtoa shimoni wakaweka kwenye spotlight baadaye kawageuka. Namsifu sana huyu msomali Bashe licha ya figisu Mshika remote na mzee makamba walimfanyia dhidi yake wakamchomeka Kigwa Nzega jamaa alitulia tu . Aliamua kucheza karata zake vizuri.
Katiba ya Chama inasemajeMama akumbuke kwamaba 2025 wanaccm wote tuna haki sawa ya kugombea, hana ujanja.
Mwaka 2025 sio mwaka wa kuchapisha form 1 ya urais, ni form kama zote na mimi nachukua.
Kama kw magu ilichukuliwa moja subirini na kwake ichukuliwe moja afu baada ya hapo tutaenda kama mnavyotakaKatiba ya Chama inasemaje
Huna akili.Nape siku hio alichofanya ni uhaini sema wabongo hawaelewi, yaani unaachishwa uwaziri unafanya press hapa Magufuli alifanya huruma sana.
Hii ilikua kali kweli cjui ilinipitaje?ama nilikua nje may be....kosa la malima lilikua nini?halafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi adam malima.
nataka nijue wako wapi hivi sasa. walipandishwa vyeo baada ya tukio lile?. walisimamishwa kazi?,waliondolewa dar na kupelekwa mikoa mingine?.
ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.
https://youtu.be/RvZWCXJWdDI
Yes huyo huyo Mungu hakika áta ufyekerea mbali ukoo wako wote wa kishetani ni swala la muda mashetani wote lazima muishehalafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi adam malima.
nataka nijue wako wapi hivi sasa. walipandishwa vyeo baada ya tukio lile?. walisimamishwa kazi?,waliondolewa dar na kupelekwa mikoa mingine?.
ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.
https://youtu.be/RvZWCXJWdDI
Alivunja katiba au unaandika tu kututisha?Nape siku hio alichofanya ni uhaini sema wabongo hawaelewi, yaani unaachishwa uwaziri unafanya press hapa Magufuli alifanya huruma sana.